Kikwete yupo nchini?

rais wetu yupo nchini au? mbona sisikii chochote kutoka kwake wananchi tunateseka na mafuta.
mkuu raisi wetu anakipaji cha usikivu na saizi,kafunga anasubirishia futari tena leo ana ugeni ikulu ameuandalia futari,kwa hiyo sio vizuri yeye kuongeaongea wakati swaumu imekaza na jua kali lote hili subiri mfungo uishe atapanda pipa kwenda opec kushughulikia tatizo la mafuta,serikali yake ni sikivu na chakavu usihofu tumvumilie tu...........................

Kwann yasiitishwe maandamano ya kupinga utawala wa jk , kama wanavofanya nchi za wenzetu.

Rais wetu yupo nchini au? Mbona sisikii chochote kutoka kwake wananchi tunateseka na mafuta.

MKUU RAISI WETU ANAKIPAJI CHA USIKIVU NA SAIZI,KAFUNGA ANASUBIRISHIA FUTARI TENA LEO ANA UGENI IKULU AMEUANDALIA FUTARI,KWA HIYO SIO VIZURI YEYE KUONGEAONGEA WAKATI SWAUMU IMEKAZA NA JUA KALI LOTE HILI SUBIRI MFUNGO UISHE ATAPANDA PIPA KWENDA OPEC KUSHUGHULIKIA TATIZO LA MAFUTA,SERIKALI YAKE NI SIKIVU NA CHAKAVU USIHOFU TUMVUMILIE TU...........................

Rais wetu yupo nchini au? Mbona sisikii chochote kutoka kwake wananchi tunateseka na mafuta.

Aseme nini naye katiwa mfukoni na mafisadi na pia inadaiwa mwanae anahusika katika hili sakata la mafuta. Umeshawahi kumsikia hata siku moja kutoa kauli yoyote kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania!?

Yaani huyu JK kuwepo na kutokuwepo ni sawa tuu.............. Kagame alisema apewe bandari na airpot ili ili ailishe TZ na nchi yake...... Jamaa akachekelea tuuu.....Yaani we acha tuuuuuuuuuuu ..............Hatuna Rais ila tu LAIS

Hee!!!! hivi hii huwa ni kweli au unatania mkuu!! Niliwahi kuisikia pia kwa bar lakini sina uhakika. Kama ni kweli basi huyu jamaa JK ni kiziwi, nakumbuka hata spika Sitta aliwahi kumwambia aongeze ukali alipokuwa anahutubia bunge kuhusu richmond.
Duh JK ni bora ujiudhuru kwa sababu tukipiga kura leo utapata asilimia 2.

Hivi na yeye yuko kwa mfungo, si ataanza kudondoka tena teh teh teh!!

Nilikuwa naongea naye (JK) mida hii anasema asisumbuliwe mpaka baada ya IDD manake swaumu tu inamtesa

HAHAHAHAAA! ANAFUNGA KWELI? 'KIPINDI KILEEEE SI SWAUMU ILIMBWAGA PALE JANGWANI? MADAKTARI WAKAMSHAURI ASIFUNGE?? HAHAHAHAHA

yupo sana! atakuwa kimya kwani kuna ziara ya ulaya hivi karibuni anajipanga kwenda kutembeza bakuli kuomba msaada..

UNAPOSEMA "VASCO DA GAMA II" UNAMPA UJIKO .. HUYU NI CHIFU MANGUNGO a.k.a Da Gama Pori

ATIIIA!!!??? KUMBE JAMAA NI MTU PORI LOOL,MWAKA 2005 NILIMPIGIA KURA TENA NILIPOANGA MSURURU PALE SOKO LA MBUYUNI MOSHI MPAKA KARIBIA NIZIMIE NKAMPA KURA YA NDIO,MATATIZO NILIOYAONA BAADA YA KUWA PALE MAGOGONI NILIJUTA NA NAJUTA! ILA 2010 WKT WA2 WANAPIGA KURA NLIKUWA BAR!NLIJUA ZITACHAKACHUKIWA TUU!!

Tufwile twe bhene kajha mweh ikisu iki ndikusyaghana kabisa.

Jaman mwacheni jeikei wa watu, mwenzenu yupo kwenye likizo ya kufuturisha na kwake urais ilkuwa ni kutmiza ndoto zake hayo matatzo alishawaambia kwamba yeye aliyakuta kwahyo hayatakwsha

Kama alidiriki kusema kuwa hataweza kuyamaliza matatizo yote maana wenzake pia walishindwa sembuse yeye kwani tulimfuata kumuomba agombee urais?mbona aliununua kwa pesa mingi vile na nguvu zote zile???aliwanunua hadi wale mbuni wa ikulu ili wambebe yeye ikibidi!!hadi marehemu wote walijuaa kuwa jamaa anataka urais kwa gharaama yeyote ile!!inakuwaje tena leo anasema hawezi kumaliza matatizo??atajuta na bado

jamani acheni jazba huyu jamaa ananianjena tu kwa watanzania ni watendaji wake ndo wanamwangusha. Hahahaaaaa
nakumbuka usemi wa zamani 'mbaazi akikosa maua hulisingizia jua' ni methali ya kizamani kweli lakini siku hizi ndio najua umaana wake!

hzo 2% ztoke wap asee,mayb 0.002%.

sasa akiwepo anakusaidia nini? Atakupa lift kwenye bmw yake.

I remember that song by Juddy,killing me softly! This country is at the blink of a disaster and the only think we can do is grumble without making our leaders to account! Inji hii inaelekea wapi?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…