Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
kwe!kwe!kwe!kwe!jk: No going back on anti-graft fight
he said his frequent trips abroad during his first term in office had yielded positive results.
if you are accepted by a superpower such as the united states of america (usa), the whole world rallies behind you, kikwete said, adding: but if you are dismissed by usa you will be discriminated against by the whole world.
source: Guardian, 25th august 2010
What kikwete said about corruption is a total lie, kama ameshindwa kuwatia hatiani mkapa, lowasa,na mafisadi wengine wakubwa husitegemee akafanya mambo makubwa katika hilo, watanzania mbona mnadanganyika kwa haraka sana. Dr. Slaa na wenzake walitoa ushahidi wa wazi kabisa kuhusu tuhuma za ufisadi wa richmond na n.k CCM kila siku inasema tunashughulikia, nadhani ni zaidi ya miaka mitatu sasa. Naomba ufikirie kidogo tu, kweli watu hao(CCM)wana dhamira ya kweli ya kuondoa corruption?. Unajua CCM ina take advantage ya kwamba watanzania wengi si wasomaji na wafuatiliaji wa mambo kwa undani. Ninashangaa sana kuona bado watu wana mshabikia Kikwete. Wakati mwingine inanipa kufikiri kuwa ubinafsi umetutawala sana watanzania kuanzia mkuu wa nchi mpaka mtu wa chini kabisa kule kijijini,ndo maana hatujali hatima ya taifa letu bali matumbo yetu. Katika nchi zinazojali utaifa swala kama hili la raisi kuwakingia kifua mafisadi(corruption) lisingempa raisi jeuri ya kusema tutaendelea kutawala tu. Ni malizie kwa kusema kwamba watanzania mlioko huko tanzania msikubali kudanganywa kama watoto kwa kuaambia usiliee nitakuletea pipi, then unanyamaza.JK: No going back on anti-graft fight
President Jakaya Kikwete said yesterday, that the war against corruption must be intensified, promising that if elected he would further empower the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in fighting the scourge.
In a period of three to four years PCCB will be more powerful in the execution of its duties, Kikwete declared during a string of Chama Cha Mapinduzi (CCM) campaign rallies in Kagera Region.
The CCM flag-bearer said the fact that many government leaders, politicians and businessmen had been arraigned over corruption charges was significant advance in the countrys anti-corruption crusade.
He rubbished opposition claims that his government had done nothing in fighting graft in the country, saying there were a lot of positive steps made including amendment of Prevention and Combating of Corruption Act and enacting of the Election Expenses Act.
Kikwete pledged that the government would leave no stone unturned against corrupt practices.
He said the government had set aside about 9.9bn/- for power distribution in Bukoba rural and Karagwe districts, and that the project would be implemented through the Rural Electrification Agency.
He told party members and supporters at Rubale grounds in Bukoba rural district that the electricity project would take off this year using taxpayers money.
Kikwete told the cheering crowd that the project would cover the area from Kanazi to Kafunjo, where there would be two lines one heading to Ibwera and Rubale townships and another one via Izimbya to cover Nyinganyakibumbi and Katoro.
The president also promised to complete the second phase of the construction of Bukoba airport by constructing a modern passenger lounge.
He said his frequent trips abroad during his first term in office had yielded positive results.
If you are accepted by a superpower such as the United States of America (USA), the whole world rallies behind you, Kikwete said, adding: But if you are dismissed by USA you will be discriminated against by the whole world.
He told a rally at Muleba that he would avail farmers the necessary inputs and urged coffee farmers to put more efforts into growing the crop now that it was fetching a reasonable price ranging between 700/-and 1,300/- per kilogramme.
Kikwete appealed to farmers in the region to make sure that the Kagera Cooperative Union (KCU) had a strong management team and avoid placing such a vital institution in the hands of corrupt people who ended up buying crops from farmers on loan, thus plunging the union deeper into debt.
The CCM flag bearer said the government would within the next five years make good its earlier promise to launch a new passenger vessel to replace MV Bukoba that capsised in Lake Victoria 14 years ago, in a move to solve transport woes in Lake Victoria.
He reiterated his earlier call to the law and security organs to improve the security situation in the lake to curb pirates and cases of lawlessness.
He pledged to build on achievements registered in the health, education and infrastructure sectors with more zeal, more speed and more strength.
President Kikwete yesterday toured five constituencies of Geita (Katoro), Bukoba Urban, Bukoba Rural, Muleba North and Muleba South.
Source: Guardian, 25th August 2010
my take;
What does anti-graft fight mean?
Could you begin by fighting yourself and your mtandao group on this?
Where are the chenges, kagodas, Meremetas, and the like?
Would leave no stone unturned?!!! what a joke!!
Tunalalama mno
Tusababishe mabadiliko kwa sanduku la kura
Gwakisa, hakuna zuri aliloanzisha huyu! Anasema MANY GOVT LEADERS, yaani hao watatu (Mkamba, Yona na Mgonja) wamekuwa wengi katika Cabinet ya zaidi ya 40? Au anataka kusema na wale wa BOT ni Political leaders? Kuna maeneo mengi tumeona rushwa ya waziwazi, licha ya kesi za Richmonduli na Meremeta:
1. Uuzaji wa zile nyumba sio za serikali tu hata zile za National Housing Corporation-muulizeni zile nyumba zetu kule Ada Estate, pale Oysterbay, Msasani, na hata Kinondoni, kwa nini amewapa wenzie kwenye siasa kwa bei poa. Watetezi wake watakuja hapa na kusema hata yeye hakukubaliana na uuzwaji wa nyumba za serikali! UONGO Mtupu. Yeye mwenyewe kwa kipindi cha uongozi wake ameidhinisha nyumba kuuzwa kwa jamaa zake serikalini, anafahamu hili, muulizeni mwenyekiti wa kampeni zake Kinana
2. Utoaji madaraka kwa watu wasio na sifa, wenye kuhusiana naye kijamii, kirika au kiimani! Hii ni rushwa kubwa kuliko yote maana inanyima fursa sawa kwa wote, lakini inaleta utekelezaji mbofu mbofu, nenda Temeke Wilaya uone utamu wa uongozi, hakuna maamuzi na mahali pengine
3. Naweza kuendelea lakini acha tu; angalia sekta ya madini bado ni wageni wanatufaidi, ameleta kiinimacho kingine kinaitwa Kilimo Kwanza, wanaoleta vile vitrekta vya bustani ni nani, nani anavinunua? hata EPZ ya Bagamoyo ni graft, huwezi ukaduplicate resources za nchi maskini kama Tanzania katika maeneo jirani namna ile, kule Mtwara bado kunahitaji maendeleo, lakini kwa kuwa Baga ni kwake, licha ya umbali na Dar kuwa karibu, tunaenda kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege!?, tunaweka EPZ MBILI, kwa nini serikali isingewekeza EPZ nyngine hapo Mtwara , baga wakabakia na hio ya Wahindi,,,,,,yaanniiiiiiii
Mnyoge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Nashindwa kuelewa unaposema hakuna zuri alilofanya kikwete,kwanza uelewe kwamba concept ya maendeleo ni pana na kwa maana hiyo maendeleo yanaweza kuwa ya kiuchumi,kiteknolojia,kijamii,kisiasa nk.katika hali hiyo unataka kuniambia kikwete hajafanya lolote zuri katika nyanja zote za maendeleo?
Yapo mengi mazuri aliyofanya kikwete,leo hii demokrasia nchini mwetu imekua na sasahivi tunaweza kuchallenge hata serikari bila kuchukuliwa hatua yeyote kama hapo awali.mimi na wewe leo tunauhuru wa kutoa maoni yetu kama tunanyotoa sasa ni kwa sababu ya juhudi za kikwete za kuruhusu demokrasia kukua.Ni kiongozi yupi kama siyo kikwete peke yake aliyewahi kuwapeleka mahakamani viongozi waandamizi wa serikali.
Aidha,kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali kikwete hahusika kwani ziliuzwa katika awamu ya tatu ya uongozi ambapo yeye hakuwa mkuu wa nchi.Halikadhalika katika sekta ya madini KIKWETE hakuhusika katika mikataba mibovu iliyopo na kwa msingi huo,alipoingia tu madarakani aliunda tume ya kuchunguza mikataba ya madini(tume ya bomani) ambayo iliwashirikisha wadau mbalimbali ,lengo likiwa ni kuliwezesha taifa letu kunufaika na madini.
Watanzani wenzangu tujenge utamaduni wa kuwa wakweli.yale mazuri aliyofanya kikwete tuyaseme pia ili tuepukane na dhambi ya uwongo na unafiki kama walinyokuwa mafalisayo
Uteuzi ndani ya chama chake ulitawaliwa na rushwa hata viongozi wakuu wa chama hicho wamekaririwa wakisema sasa kama yuko seriously kweli angemalizana na wanachama wake kwanza kwa wale ambao walikuwa na tuhuma na sio kusema ataendeleza vita wakati wahalifu wakubwa wa hilo ametajiwa na hakuna chochote alichofanya.
Mnyoge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Nashindwa kuelewa unaposema hakuna zuri alilofanya kikwete,kwanza uelewe kwamba concept ya maendeleo ni pana na kwa maana hiyo maendeleo yanaweza kuwa ya kiuchumi,kiteknolojia,kijamii,kisiasa nk.katika hali hiyo unataka kuniambia kikwete hajafanya lolote zuri katika nyanja zote za maendeleo?
Yapo mengi mazuri aliyofanya kikwete,leo hii demokrasia nchini mwetu imekua na sasahivi tunaweza kuchallenge hata serikari bila kuchukuliwa hatua yeyote kama hapo awali.mimi na wewe leo tunauhuru wa kutoa maoni yetu kama tunanyotoa sasa ni kwa sababu ya juhudi za kikwete za kuruhusu demokrasia kukua. Ni kiongozi yupi kama siyo kikwete peke yake aliyewahi kuwapeleka mahakamani viongozi waandamizi wa serikali.
Aidha,kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali kikwete hahusika kwani ziliuzwa katika awamu ya tatu ya uongozi ambapo yeye hakuwa mkuu wa nchi.Halikadhalika katika sekta ya madini KIKWETE hakuhusika katika mikataba mibovu iliyopo na kwa msingi huo,alipoingia tu madarakani aliunda tume ya kuchunguza mikataba ya madini(tume ya bomani) ambayo iliwashirikisha wadau mbalimbali ,lengo likiwa ni kuliwezesha taifa letu kunufaika na madini.
Watanzani wenzangu tujenge utamaduni wa kuwa wakweli.yale mazuri aliyofanya kikwete tuyaseme pia ili tuepukane na dhambi ya uwongo na unafiki kama walinyokuwa mafalisayo
bobishimkali, Hapo kwenye nyekundu mbona hujamalizia?!!
Ni kweli ni kikwete peke yake aliyewahi kuwapeleka mahakamani viongozi waandamizi wa serikali na kuwaruhusu wagombee uongozi wa ubunge majimboni mwao!!!! unafikiri kuna kesi hapo? Ni kiini macho tu. Au kwako hiyo ni demokrasia?
KIKWETE anaongoza nchi kwa kufuata utawala wa sheria,kwa msingi huo hawezi kuwazuia kugombea uongozi wa ubunge majimboni mwao.yeye anaisubiri mahakama ili iweze kutenda haki kwa kutoa hukumu sahihi kwa watuhumiwa. Aidha ukumbuke kwamba hawa ni watuhumiwa tu bado hawajatiwa hatiani na mahakama ndiyo maana hata vyama vya upinzani vinashindwa kuwawekea pingamizi pomoja na milango ya mahakama kuwa wazi
Ndugu yangu inaonekana uelewa wako mdogo, mikataba mibovu ya madini aliifanya kikwete akiwa waziri wa nishati na madini au ukumbuki hiyo?. Wale waliopolekwa mahakamani ni 'makalani' tu wa rushwa wahusika wenyewe wameachwa, na hata hao makalani wamepelekwa baada ya upinzani kufichua, kama ni raisi muadilifu kwa nini asubiri mpaka wapinzani waone wakati wao wako nje ya serikali? Kama mgeni anakuja katika nyumba yako na kuanza kukueleza udhaifu wako it means wewe si kiongozi mzuri katika nyumba yako mwenyewe. Ndo maana tunasema kikwete ni mdanganyifu na wananchi wengi huwa si wachambuzi wa mambo kwa undani, hivyo serikali ya kikwete ina take advantage hiyo ya udhaifu wa wataanzania. Kumbuka kuwa hakuna Raisi yeyote duniani ambaye haidhinishi maamuzi makubwa kama hayo ya rasilimali za taifa. Kikwete ndo aliyeidhinisha mambo hayo maana yeye ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mwenyekiti ndo mwenye final say katika vikao hivyo.Mnyoge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Nashindwa kuelewa unaposema hakuna zuri alilofanya kikwete,kwanza uelewe kwamba concept ya maendeleo ni pana na kwa maana hiyo maendeleo yanaweza kuwa ya kiuchumi,kiteknolojia,kijamii,kisiasa nk.katika hali hiyo unataka kuniambia kikwete hajafanya lolote zuri katika nyanja zote za maendeleo?