Kikwete unayasikia haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete unayasikia haya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAK, Oct 15, 2007.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,700
  Likes Received: 82,625
  Trophy Points: 280
  Nigeria leader says honesty pays
  BBC News Online

  Mr Yar'Adua said Nigeria needs God-fearing, honest politicians
  Nigeria's President Umaru Yar'Adua says eradicating corruption is the key to ending poverty in his country.
  Mr Yar'Adua told the BBC that all Nigerians need to become honest, trustworthy and hard-working people.

  He stressed that politicans must start to set a good example because "whatever leaders do, is what their subjects do".

  On Tuesday, the New York-based Human Rights Watch issued a report which said politics in Nigeria was so corrupt that it resembled criminal activity.

  The HRW report noted that President Yar'Adua has promised to uphold the rule of law but said there needed to be real reforms to make the government accountable and to end the culture of impunity.

  Setting an example

  President Yar'Adua told the BBC's Hausa Service that it was vital that the country's political leaders set an example to all by leading honest lives and distancing themselves from unlawful acts.

  If leaders... distance themselves from any unlawful acts - the people they govern will copy them and do the same

  President Umaru Yar'Adua

  "I want Nigeria to be a country with people who fear God; a country whose citizens obey the rule of law and due process; a country where the citizens shun evil acts and do the right things to promote peace in Nigeria and the world at large."

  A series of recent setbacks - and what appears to be political in-fighting between the attorney-general's office and the Economic and Financial Crimes Commission - has led several commentators to question the administration's commitment to tackling grand corruption.

  But in his interview with the BBC, President Yar'Adua re-emphasised that to lift all Nigerians from poverty it was essential for everyone, especially holders of political office, to adopt the highest standards of behaviour.

  "If leaders fear God, be honest, sincere, hard-working, do the right thing and distance themselves from any unlawful acts - the people they govern will copy them and do the same."

  Mr Yar'Adua was elected in April in what international monitors said was a deeply flawed process, with high levels of fraud and violence.
   
 2. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  bubu hiyo safi kweli na ndio kitu tunachotaka duniani, lakini why specifically kikwete ? he is not the only leader, hivyo itakuwa vizuri kama ungesema viongozi wote wa tz kama wametusikia ! hata hivyo sio vibaya, nafahamu unajaribu kutuma ujumbe fulani kwa prezo !
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,700
  Likes Received: 82,625
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana Kada Mpinzani. Kikwete ndiye mshika usukani, yeye ndiye anayeiongoza Tanzania ielekee kwema au kubaya. Na kama katika safari hiyo yeye akiwa kama dreva wetu, wale wasaidizi wake akina konda na wanaopaswa kuangalia usalama wa MV Tanzania kama itaweza kuhimili misukosuko ya baharini na wengineo wakilega lega basi awatimulie mbali, lakini yeye anawakumbatia pamoja na wasafiri kupiga mayowe kwamba chombo kinaenda mrama, muungwana inaelekea ndio kwanza anaweka pamba masikioni, akija kushtuka it will be too late! Si umeshasikia panapofuka moshi ...
   
 4. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  sawa mkuu nimekusikia, mwaga nyenzo !
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2007
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  tatizo sio kwamba hawasikii au hawaoni wanasikia na wanaona ila hawala ile courage ya kufanya oooppss ngoja niseme hawana utashi wala nia ya kufanya yaani washafaidika wao na ndugu na washikaji wao hawana haja na mtu mwingine kufaidika au hawana hata haja ya kufanya hivyo

  washaona wao wamepata kile wanachokitaka hawana haja na wananchi waliowachagua kuwa wanahitaji na wao kufaidika
  hivyo ujumbe huo wa rais wa Nigeria ungefaa uende kwa viongozi wote wa bongo land na sio prezda pekeyake
   
 6. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2007
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  JK ha ubavu, angekuwa nao walau angeweza kumwondoa mkurugenzi wa maliasili ndugu Severe, ila huyu ndio anawangoa mawaziri wake sasa ubavu atautoa wapoi kama hata mkurugenzi anamzidi nguvu?
   
 7. N

  Nurubora New Member

  #7
  Oct 16, 2007
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais hawezi kujua haya yote kwa sababu umezuka mtindo wa kumzungusha asielewe nini kinatendeka. Kila anapofika ofisini kwake anakuta kaisha pangiwa safari na simu, message nyingi za kusisitiza lazima aondoke aende akiuliza swala hili limefikia wapi nataka ripoti anaambiwa usiwe na shaka mzee linashughulikiwa lakini jambo hili hapa ni la muhimu zaidi inakubidi uangalie kwanza mipango yote ya usafiri ni tayari huu mkutano unatakiwa uhudhurie. Anapambwa na maelezo mengi na sababu nyingi ambazo ni za msingi. Akiondoka tu, watu wanaendelea na shuguli zao. Ukweli wanaohusika hawana nafasi ya kushughulikia maswala ya kitaifa badala yake kila mtu anatafuta kujineemesha nafsi yake. Ikiwezekana inabidi itafutwe kila mbinu ya kumuelewesha Rais kinachoendelea. Kikwete ana nia nzuri lakini sisi wasaidizi wake ndiyo balaa hatukai ofisini mafaili yanajaa mezani tukiulizwa jibu tumesikia na tunalishughulikia majibu yatatoka hivi karibuni kinachofanyika hakuna, mzee amesafiri njoo kesho, faili liko kwa boss anashughulikia. Ikiwa kunapesa,swali shilingi ngapi, ongeza ishirini zangu, ikiwa mkataba tunakupa miaka 5 bila kodi mradi akili kichwani ikifika miaka mitatu sema unapata hasara naacha, badilisha jina utapewa tena miaka 5 daima utakuwa hulipi kodi mradi uniwekee changu pembeni. Je Rais atayajua yote haya, hawezi watendaji ni wengi na yeye yuko peke yake.!!! Kwa hiyo tujaribu kwanza kutafuta njia ya kuondoa ubinafsi na tujifunze kuipenda nchi yetu na kufanya kazi kwa manufaa ya wote sivyo miaka 10 itaisha bila Rais kujua nini kinochoendelea atabaki kulaum upinzani wakati wabovu wako nae wanamla kichogo.
   
 8. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  sio anmzidi nguvu,ilapesa iliyomuweka madarakani ilitokana na kina severe kupitia kwa mama meghji,ataanzia wapi?

  hivi nyie bado mna matumaini na huyu Muungwana?ushauri wa bure ..mpuuzeni then 2010 tumwangushe
   
 9. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Pamoja na mambo mazuri uliyosema 'The buck stops with JK' ndio sababu alipiga kampeni nchi nzima kuomba kura sio kula. WTZ hawakuwachagua wasaidizi wake wamemchagua yeye. Uozo, uvundo, Urichmondulian, Ukaramagi, Ubalalis na mengineyo shauri yake yeye mwenyewe atajijua huo ndio Urais aliouomba.
   
 10. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2007
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nurubora:
  Kama rais hawezi kujua ubovu na kujua wabovu katika serikali yake ni akina nani; basi yeye ndie mbovu kuliko wote.
  Hatuwezi kuendelea kutoa visingizio vya namna hii. Havitusaidii chochote.
   
Loading...