Kikwete unamuogopa Mwakyembe

Kwani uchukuzi ni kwa ajili ya watu wa Kyela???? ubunge ndio unawahusu na vile mlimfanyia kwenye kampeni wakati EL alipojipenyeza kichini chini kumwangusha, ndoa kabisaaa, hana habari na nyie.

poleni lakini.
 

Tatzo nchi yetu mpaka sasa ni kama ipo kimagumashi tuu. Wote tunajua ili iwe nchi nguzo za msingi ni zipi. Wizara ya uchukuzi inamagumashi chungu mbovu na ubadhilifu wa kila namna na aina nadhani zaidi ya wizara zingine zote ukiondoa ya elimu., ujio wa mwakyembe katika wizara ya uchukuzi ulitazamiwa ungekuwa nafuu na kuendelea kuwabeba wabadhilifu, na hii ni kutokana na taaluma ya mwakyembe mwenyewe.. Sasa mambo yamekuwa tofauti na walivyotarajia na hivi kilikuwa kinaelekea kunuka taratibu kwa wabadhilifu, na ingekuwa cha mtoto ya escrow.. Duu masiki Tanzania yangu ee ulipoteza uhalisia wa kuwa nchi..
 
Hata mimi nimejaribu kuliangalia hili,nimeona kama kuna kupotezeana vile!!!!

Hivi umtoe Mwakyembe wizara ya uchukuzi halafu umlete msanii wa bongo muvi Sitta!!?


Huku si kuwatania watanzania!!?

Mjadala kuhusu issue ya Dr Mwakyembe kuondolewa pale uchukuz uko kila mahali na maswali ni mengi sana kuliko majibu. Ni shida kwa kweli.
 
Hii ndo ngwe yake ya mwisho kuwaongoza wanakyela.
 

Yote ulioandika ni upuzii tuuuuu, lakini kwenye word CHAKARMU kula like kubwaaaaa......Haaaa! Haaaa!
 
Hivi JK unataka tukukumbuke kwa lipi?? Mnona kila kitu unafanya kwa mapenzo yako binafsi badala ya kuangalia wananchi wako??? .

Mtamkumbuka tuu kwa yote haya yanayofanyika sababu yote yanaingia katika historia ya Tanzania
 

Ndio,maana nikasema kwa Mwakyembe hata kama lengo ni kumficha kisiasa bado ataonekana tu kwenye ramani ya siasa hzi za kiswaz!!!maana kubadlishwa kwake awamu hii kuna ukakasi kwa kias fulani!!!!
 
Nafikiri jamaa alitaka apelekewe reli kyela

Kama huijui Kyela nyamaza tafadhali
Kyela tuna bandari HAJAWAHI igusa hata kwa miundo mbinu kila siku tunaona anaimarisha bandai ya Dar,Mwanza na Tanga
Kyela tuna meli chakavu zinazo zima katikati ya ziwa kila siku lkn ni Mwakyembe aliyeipa Mwanza hela za meli mpya!

Mwakyembe ni mbunge wa hovyo hovyo kupata kutokea ktk Wilaya ya Kyela na hawezi shinda hata kura za maoni
achilia mbali kupambana na CHADEMA
 
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,

Wewe uanashindwa kuona kwamba alihangaika sana na TAZARA sio ndio inakwenda huko kwenu? na Songwe airport havitoshi tu hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…