Huyu jamaa ni mvivu wa kufiki mpaka sasa e_governance inaelekea kumshinda, anandoto za kufanya telemedicine na sasa amekurupuka na e_education bila hata kujiuliza hyo miundombinu ya kufacilitate e_education ipo wapi. Nchi inaongozwa kwa ndoto.
Wametuambia vitambulisho vya uraia wetu kwa kadiri ya ufahamu wngu mdogo hyo project inatakiwa iwe katika huo mkondo wa mawasiliano ili leo mtoto anapozaliwa kijijini basi taarifa zake ziingizwe mara moja katika national database ya vitambulisho hivyo. Lakini wao wanazungumza bila kujua dhana nzima ya vitambulisho nini? na vitalisaidiaje taifa.
Please mkwere give us a break sio lazima uwe unazungumza wakati mwingine uwe unakaa kimya uwezi kuongoza nchi kwa ndoto nchi inaongozwa kwa proper planning. Tupe umeme wa kuaminika then andaa wataalamu wa kutosha katika fani ya ICT kwa kiwango cha mishahara inayostahili,Peleka computer shuleni watoto wazizoee na wajifunze kutumia then njoo na idea kama hiyo utaonekana bonge la great leader otherwise unazidi kujishushia heshima katika jamii