Kikwete ni rais wa wachina ama?

Kikwete ni rais wa wachina ama?

Ahhh!kwani hakuna mambo mengine ya maana kujadili!Keshatangaza hali ya hatari inatosha iwe ni kwa sabb ya uchina au uswahili!Labda nikusaidie katafute definition ya Incidence na Severity utaelewa kwa nini wachina 9 wakiugua ni hatari zaidi ya watz 1000!
 
Kwahiyo Wachina wasingeugua DENGUE serikali ingeendelea kuvuta blanketi?Yale yale ya kusafisha jiji kwasababu ya ujio wa Obama tu.Akili za Waafrika hizi tabu kweli kweli!!!!
 
Ndo maana katibu wake anawaita watanzania maembe. Dharau kubwa hii
 
JK hakuwepo hiyo habari angeitangazia Nigeria.Sababu this week nimemwona na Safety boot Nigeria sambamba na Dangote anapewa michongo yakufanya 2015 ikifika,Siku chache nikamwona Kongo na dogo Samatta wanapiga stori.Sasa hiyo hatari angetangaza lini?

Hivi aliyekuwa Arusha siku ya Manesi ni Nani? By the way akisafiri na ofisi inasafiri? Au U-Raisi ni Kikwete na sio Taasisi?
 
Hii Demokrasia iliyozidi mipaka mpaka tunafikia kudharau viongozi unaipata wapi wewe, huyo ni Raisi tena wa watanzania kama unamdharau nenda kakae nchi uitayo ambayo utatukana viongozi na kuzungumza pumba zako huko hapa hapakufai tena hufai kabisa.

Huoni serikali imechukua tahadhari wewe uko wapi katika nchi hii au unadhani kila jambo ni siasa, peleka ujinga wako mbali kabisa.
SIASA ni nini???
 
watu wengine sijui wakoja wanakurupuka tu, sio kosa lake kila kitu yeye ni siasa tu! Kuna mwingine alisema Serikali inakuza issue kuliko uhalisia ili kudivate akili za watu!
SIASA ni nini?
 
Hivi aliyekuwa Arusha siku ya Manesi ni Nani? By the way akisafiri na ofisi inasafiri? Au U-Raisi ni Kikwete na sio Taasisi?
Sasa kama ni tasisi makatibu wake wakaropoke kwa niaba ya rais tuone kama hizo V8 watakaa wazipande tena.Daima Rais ni 1 na ni yeye ndio mwenye mamlaka tuu.Kwanza ushaisoma katiba ukasoma mamlaka ya rais na sio mamlaka ya ofisi ya Rais.?
Home work kasome katiba ya sasa Sura 2 ibara ya 33 na kuendelea ndio uje na hayo maswali kama rais anamsidizi kwenye kutoa maamuzi.
 
Kweli nina washangaa sana wanao beza hu uzi! Hi kitu ni very serious, bado pia hua najiuliza, how Watanzania wanapofanya makosa kwenye nchi zingine (including China) hua wanahukumiwa huko huko na kwa sheria za huko but mgeni (wa nje ya Africa) akikosea hua wanarudishwa kwao! Kwa hili saga nashawishika kusema, Rais (may be na viongozi wengine na wote wanaobeza hu uzi) wana amini watu weupe ndio watu, weusi sio watu! Ukweli hiyo ndio tafsiri ya haraka haraka!
 
Back
Top Bottom