mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,697
- 9,051
Baada ya Wachina 9 Dar kuugua ugonjwa hatari kuliko Ebola DENGUE, Sasa Kikwete amezitaka wizara za Afya na ustawi wa jamii kutangaza mipango ya dharura kupambana na ugonjwa huo.
Inashangaza jana tukitangaza habari hizi zaidi ya watanzania 400 waliripotiwa kuugua Dengue na Rais alikuwa kimya hajatoa tamko.
Leo Raia wa China 9 wameugua Dengue na Rais Kikwete amekurupuka kutangaza hali ya hatari.
Tunauliza Kikwete ni rais wa Wachina tisa na siyo rais wa Watanzania zaidi ya 400 wanaougua DENGUE na watatu tayari wamepoteza maisha?