Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,029 Apr 22, 2012 #1 Kwa nini JK huwa anaongea na wazee wa CCM kwa masuala ya Taifa badala ya kuongea na wananchi wote? Na hao wazee wa CCM huwa anaongea nao au huwa anaongea kama yupo kwenye TV?
Kwa nini JK huwa anaongea na wazee wa CCM kwa masuala ya Taifa badala ya kuongea na wananchi wote? Na hao wazee wa CCM huwa anaongea nao au huwa anaongea kama yupo kwenye TV?
Lyimo JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,826 Reaction score 2,023 Apr 22, 2012 #2 Angalau anheongea na wazee wastaafu wa East Afrika ningemuelewa.