Kikwete na UKAWA wakubaliana

Kikwete na UKAWA wakubaliana

Hadi hapo ndo unaweza kuwa mwisho wa ukawa kwani huo mjadala wa katiba utakuwa umefungwa rasmi. Ni wakati wa kila chama kuvaa koti lake la siku zote tuone kama kuna walichovuna kupitia umoja wao wa kinafiki walokua wameunganisha.

Mpaka hapo mshindi CCM. Agenda za serikali 3 na serikali ya mkataba yenye kiti chake UN ndo imetoka hiyo labda msubiri awamu ya 5.

Unabanduliwa nini?
 
Mh. Kikwete hapa amecheza kama Pele vile. Ameamua kuzima moto kilaini ili hii nguvu ya UKAWA isiendelee zaidi ya hapo. Sasa baada ya uchaguzi 2015 UKAWA ITAKUWEPO? Mchakato huu batili unaendelea mpaka 4 October 2014 bila kupiga kura then Bunge linasitishwa sijui linavunjwa tutajua siku hiyo. Then 2015 huyo rais mpya atakuja na lake likini kama marekebisho ya katiba ya 1977 yatasema wazi kuwa lazima katiba mpya ipatikane kabla ya lipindi fulani itamlazimisha rais ajae kufanya jambo hili lakini kama itakaa kimya huyo rais ataamua kufanya navyotaka yeye. WANANCHI TUMEONA NA TUNAELEWA NINI KINAFANYIKA SWALI JE TUNAJIFUNZA NINI NA JE TUNAWEZA KUCHUKUWA MAAMUZI KAMA WANANCHI KATIKA JAMBO HILI MIHIMU KWETU?
 
Alipe hasara aloliletea taifa, kwa uzembe wake wa kufanya kazi kwa kupenda sifa za kijinga.
 
Baada ya uchaguzi wa mwakani ukawa itakuwa historia ya kale
 
Back
Top Bottom