huyu kikwete ameenda huko ili kuonyesha anajali mambo ya wananchi,lakini mbona hakufanya hii mijadala mpaka wakati wa uchaguzi umefika?watz amkeni kimawazo sio kupiga mbiu tu!!!!!!kwani hata mtu mmoja hakumwuuliza, je lengo la ufumbuzi wa matatizo yawatanzania ni lipi? bila kuja lengo la ufumbuzi huwezi kufumbua.simple but very complex.