Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

Rasimu ya Tume ya Jaji Warioba (maoni ya wananchi) itajadiliwa upya January 2016 na wakati huo CCM ni wapinzani, mjadala unaanza upya.

DR. Slaa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa ameachiwa majukumu mengi na Jakaya, lakini katiba mpya haitamsumbua maana ilikuwa kwenye ilani yetu ya uchaguzi 2010 kwa hiyo itatekelezwa upesi.

Slaa:Nina ulemavu was kudumu,sitweza kugombea Uraisi tens.
 
UKAWA nao! Yaani mtego uko dhahiri nao wanakubali kukaa na Kikwete na Cheyo (ambaye bado anakula posho ya BMK) na kutangaza kukubaliana kuahirisha BMK??? Halafu "wanakubaliana" na Kikwete (sio sehemu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano) kuifanyia mabadiliko Katiba ya sasa? Eti matokeo ya urais yahojiwe mahakamani, Rais ashinde kwa 50%+1, Tume Huru ya Uchaguzi? Nani watajadili na kupitisha mapendekezo haya? Sio Kikwete! Ni Sitta, Membe, Lowassa, Makamba, Wasira Ngeleja - unawajua wote na maslahi yao ktk uchaguzi ujao. Kweli? UKAWA wameingizwa tena mjini!!
 
Nzuri hiyoo

Sijawahi kutoa comment yeyote juu ya mwenendo mzima wa mchakato wa kuandika katiba mpya.Ilikuwa ni kichekesho na aibu kwa Tanzania.Ilikuwa inaleta kichefuchefu.Ni kama Watanzania wote ni mataahira hivi.Ninachojiuliza ni kwamba,watu ambao hawakutumia busara kabisa,na kufanya upumbavu wote huu na hatimaye kutufikisha hapa tulipo tuwafanye nini?No wonder Tanzania kwa watu wake kuwa wajinga imekuwa ranked nineth from the last.I regret to be born in Tanzania.
 
Natumaini wajumbe wataona aibu na kuondoka Dodoma taratibuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!
Aksante JK aksante TCD aksante UKAWA
 
Kwa maamuzi na makubaliano haya kati ya ukawa na rais Kikwete.Nayakumbuka maoni na mapendekezo ya Zitto Kabwe 'alisema katika kipindi hiki katiba bora haiwezi ikapatikana Kwa kuwa pamoja na sababu nyingine,wanasiasa wengi wapo kwenye tension kubwa Na uchaguzi mkuu 2015.

Alipendekeza mchakato usitishwe Kwa muda na bunge la jamuhuri ya muungano liitishwe ili liweze kufanya mabadiliko katika vifungu kadhaa vya Sheria kuwezesha kuwa na tume huru ya uchaguzi,mgombea binafsi,umri waurais kushushwa na vifungu vinginevyo vinavyohusika na uchaguzi.

Baada ya uchaguzi mkuu basi mchakato Wa katiba uendelee Kwa kuwa hali itakuwa imetulia na mazingira ya upatikanaji Wa katiba bora yatakuwa yamefunguka.

Hongera sana mzalendo Zitto Kabwe ,maoni na ushauri wako umesikika na sasa tupeleke nguvu katika mabadiliko hayo ya vifungu vya Sheria.

Kweli Zitto kabwe ni Kijana mzalendo Na mwenyeushawishi mkubwa.

Mungu akupe Afya na Moyo wenye subra,ipo siku utatuongoza kama amri jeshi mkuu.
 
UKAWA wamegoma kurudi pamoja na kunywa juice,kahawa na vitumbua vya ikulu ndogo.

Kwa akili yako ndogo hilo jina naona umelikodi haiwezekani mhaya awe na mawazo duni kiasi hiki,juice ninini mbele ya kujenga mstakabali wa umoja nchini mwetu?
 
jana mlikuwa mnajifariji kwa kumtukana SITTA, leo Bunge limeendelea kama kawaida mmeanza kuweweseka, na bado

Ndio hivyo tena katiba mpya baada ya uchaguzi 2015,chezea Ukawa!!!!!!.ndio magamba mpate akili
 
Kwa audio nilioisikiliza hapo juu kama nimefahamu vizuri bunge litaendelhea mpaka hapo October halafu lisite kuchomolewe mambo muhimu ya kwenye rasimu yaingizwe kwenye katiba 1977 ili kukidhi uchaguzi 2015. halafu baada ya uchaguzi ndio mchakato wa katiba mpya uendelee.

My take: Ivi tumeshamjuwa rais mpya anayekuja? atakuwa na imani kweli ya hii katiba mpya? kama Rais atajakuwa Samuel Sitta ama Pinda kutakuwa na salama kweli nchi hii? Kwanini mkutano huu wasingejadili kasoro za bunge la katiba na kukubaliana mapema rasimu ndio ijadiliwe na bunge lianze upya?
 
Acha kumu advitise Yuda hakueleweka kama yupo bungeni au la
mapendekezo ya UKAWA Ndo yamefanyiwa kazi we unadhani hili jukwaa la div 5 uwaongopee Yuda sasa anajutia usaliti wake ndo habari ya mjini.
 
Mliopo karibuna sitta mwambieni achutame jamani mwenzenu anadhalilika akina mama mtupieni hata vilemba ajisitiri.
 
Acha kumu advitise Yuda hakueleweka kama yupo bungeni au la
mapendekezo ya UKAWA Ndo yamefanyiwa kazi we unadhani hili jukwaa la div 5 uwaongopee Yuda sasa anajutia usaliti wake ndo habari ya mjini.
Anadai wapambe sisimu ndo wamemzika kisiasa baada ya kuvuta mkwanja wao
 
Acha kumu advitise Yuda hakueleweka kama yupo bungeni au la
mapendekezo ya UKAWA Ndo yamefanyiwa kazi we unadhani hili jukwaa la div 5 uwaongopee Yuda sasa anajutia usaliti wake ndo habari ya mjini.
Anadai wapambe sisimu ndo wamemzika kisiasa baada ya kuvuta mkwanja wao
Basi huu ushauri alitoa Mbowe ,understood?
 
kama bado kuna watu wana mawazo ya ukawa kwenda IKULU ni kutafuta chai na vitumbua. huu ni utumwa wa kifikra.
 
Hebu tafakr mheshimiwa SITA! Unaweza kurejesha heshima yako kwa Kuahirisha Bunge hiyo ndo furusa uliyo nayo ili kujijenge heshima! FAIDA

1;utaokoa pesa za wanyonge na masikini,
2:utaingia kwenye record nzr za masirahi ya taifa
3: utakuwa jasir ambapo wananchi watakuona unauchungu na nchi!!

TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA...
 
kwani ni uongo mkuu, hivi UKAWA walikuwa na Sababu gani ya msingi kurudi kwa JK kama siyo kunogewa kukanyaga Kapeti jekundu na kunywa Juice

Ndio hivyo tena UKAWA 5-MAGAMBA-0.Chezea ukawa?Heko Jk kwa kugundua mapungufu yaliliyomo ktk mchakato huu.pia nawapongeza UKAWA kwa msimamo husiyo yumbishwa na wasaliti.
 
Back
Top Bottom