Kikwete na Mkapa wameshindwa kusimamia Vyuo wanavyoongoza

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni Raisi Mstaafu Benjamini Wiliam Mkapa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ni Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.

Hivi ni vyuo vikubwa viwili nchini vinavyoongozwa na maraisi wastafu lakini pia ni vyuo vinavyoongoza kwa matatizo kede kede. Kama wanasiasa wameshindwa kuvisimamia basi wapewe wafanyabiashara wavisimamie kama Bakheresa au Dewji maana tumeona matajiri wanamiliki vilabu vya mpira na vinafanya vizuri. Kina JK na BM wapewe Simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom