Kikwete na madudu ya tanroads

Kwanini uteuzi wa chief tanroads umechelewa?

Wacha majungu!! aplicants ndio kwanza wametangaziwa kuitwa kwenye usaili, na tume mpya ya ajira soma magazeti ya wiki hiii
 
Short list ya ma engineer 5 imetoka kwenye daily news and Daily news wiki hii
 
Wacha majungu!! aplicants ndio kwanza wametangaziwa kuitwa kwenye usaili, na tume mpya ya ajira soma magazeti ya wiki hiii

sio majungu tumechoka na misongamano ya sasa nadhani watendaji wa sasa wameshindwa kazi watolewe waje wapya nao wajivue gamba
 
Ingekuwa suala la kujivua gamba ambalo nape ametangaza kuwa sasa litaingia serikalini.....huyu bwana aliyekuwa tanroads,mrema angekuwa mmoja wa watu ambao angetoka kipindi hicho kweli ingemaanisha sasa kujivua gamba maana yake ni nini....! Ila kwa kuwa alishatoka kimya kimya glory be to god of tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…