sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,131
- 4,249
Opinion poll za REDETni sawasawa na kupiga ramli sio kigezo halisi, ni copy and paste, jambo muhimu ni watu waliojiandikisha kupiga kura kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
REDET anataka kutumia report yake kama swing votes kwa wale ambao hawana upande.
Kufanya Opinio poll zilitakiwa fedha nyingi za kuzunguka nchi nzima,pesa hizo alitoa nani,je kuna mkono wa wadau kwa maana wagombeaji katika uchaguzi mkuu?
Umahili,umakini wa waliofanya utafiti uko je? Quality Management System ya REDETyenyewe iko je?