Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
22/12/2005 SIKU YA KWANZA KWA MH KIKWETE KUWA KAZINI KAMA RAIS. NA KUANZIA HAPO ARSENAL HAWAJAPATA TENA KOMBE JE KUNA UHUSIANO? HAHAHAHAH
Dah noma
CC: watu8, Rockcity native, taamu, Joss, Mwita Maranya, Chimbuvu, Ben Saanane, Kipaji Halisi, Mentor, gfsonwin, Zion Daughter, majany
Vasco da Gama kapata mrithi wake TZSiku izi akai tena ofsini, anamuenzi Vasco da Gama
Hujambo jamani majany??Bujibuji punguza ULOZI......umem'CC hadi my 'X' Zion Daughter???
Sijambo sana na afya tele...Miye buheri wa afya amiii....hofu kwako tu uliye mbali na upeo wa macho yangu......dhumuni la post hii lilikua ni kukutaka hali tuu...uhali gani Zion Daughter???:bange:
Sijambo sana na afya tele...
Afu huyo teja hapo ananitia mashaka.....
Zion Daughter my sister in Jesus Blood, nimekumiss zaidi.
Hili sio dhumuni la post hii, hebu njoo utubu majanyMiye buheri wa afya amiii....hofu kwako tu uliye mbali na upeo wa macho yangu......dhumuni la post hii lilikua ni kukutaka hali tuu...uhali gani Zion Daughter???:bange: