Katika rasimu ya katiba ya warioba alipendekeza nchi iwe na marais watatu, rais wa Zanzibar, Rais wa Tanganyika na Rais wa Muungano.
Hivi leo Rais wa Tanganyika angekuwa JPM na anavyotumbua majipu, huku Rais wa Muungano ni Lowasa akilipa fadhila kwa waliomchangia kwenye harambee zake na aliowaahidi vyeo kama akina Mwapachu, hii nchi kwa sasa ingekuwa haitawaliki.
Yaani ungekuwa mtifuano kwa kwenda mbele, ingelikuwa kuonyeshana ubabe tu na maendeleo yangesimama. Hongera JK kuliona hili mapema na kulitupilia mbali.