Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,784
- 165,472
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?
Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."
Ni kwasababu anajua kwamba bado kuna maisha hata baada ya uchaguzi

Bado upo kwenye usingizi
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Iringa mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Samora.
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa ambapo aliwaeleza wananchi wa hapo kuwa ana historia na mkoa huo kwani alisoma hapo na alishafanya mazoezi ya kufundishia hapo hivyo atahakikisha mkoa huo unakuwa vizuri kimaendeleo.
Sehemu ya Umati wa wakazi wa Iringa mjini waliofurika kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi mji wa Iringa kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Samora.
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?
Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."
Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."
Well said mkuu.
Wengine hawajui kusoma hata alama za nyakati wnabaki wanbwabwaja bwabwaja tu majukwaani.
Kikwete kashasoma alama za nyakati kitambo.
kwani kuna tatizo gani? si ndio maana ya demokrasia ya vyama vingi mgombea mmoja lazima ashinde na awe rais.
kinacho tushangaza wengine ni hili la chadema/ukawa kuanza kutumia hii njia ya kurushia washindani wao mawe, ndio-imetokea iringa kwa mchungaji msigwa, wakiamini itawaongezea kura za ushindi.
Siungi mkono vurugu, ila ccm kwenye utovu wa nidhamu mpo. Wanaccm wamekuwa wakipanda majukwaani na kuishia kutukana mshindani wao Ukawa. Rejea EL kujinyea tena mbele ya watoto na watu wa jinsia na tofauti. Je kumdhalilisha mgombea mwingine ndio sera za ccm watu walizofuata kusikia? Achia mbali visa vya kutunga dhidi ya wapinzani wao kupitia jeshi la polisi. Halafu inakuwaje Ukawa wakisema kitu, tume inawahi kukemea lakini ccm wakifanya kosa tume inaonyesha ni mambo ya kawaida tu kwenye uchaguzi. Ni bora tupigane wangalau kidogo tutaheshimiana na kila mtu atajua wajibu wake.
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?
Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kusema huyu bwana amevumilia kweli kweli huku akichagiza kauli yake hiyo na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."
Alafu atamalizia kwa kusema, "jamani msinune ndio Demokrasia."
Bado upo kwenye usingizi
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Iringa mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Samora.
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa ambapo aliwaeleza wananchi wa hapo kuwa ana historia na mkoa huo kwani alisoma hapo na alishafanya mazoezi ya kufundishia hapo hivyo atahakikisha mkoa huo unakuwa vizuri kimaendeleo.
Sehemu ya Umati wa wakazi wa Iringa mjini waliofurika kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi mji wa Iringa kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Samora.
Wewe umeshawahi kumsikia lowassa kwa mdomo wake mwenyewe akimsema jakaya na richmond,why? Kwakuwa anaujua ukweli hivyo usije ukashangazwa na ukweli kuwa huyo mamvi wenu kaja kuwababaisha ili ccm washinde kwa urahisi