Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,365
Hii kauli hakika wengi hatukuielewa maana yake sasa ndio nimeanza kumuelewa Kikwete. Tutakukumbuka Jk.
Amewahi kutukanwa na upinzani na kufedheheshwa na hakuamua lolote baya,kwa kipindi chake nenda kamkejeli kagame au m7 au mugabe,kutokana na hilo alisababisha nchi kua na amani,alikua na uwezo wa kuwaficha wote wapinzani wenye kumtukana.uhulu wa vyombo vya habari pia uliandika mambo mengi dhidi yake ya uongo na uchonganishi na aliishia kucheka tu!Upole wake ulikuwa na faida gani kwa taifa?
hata kuangalia live bunge kupitia tbc ilikuwa haina faida...kweli umenenaSema nitamkumbuka JK sio Tutmkumbuka jk , hakua na faida yeyote kwenye nchi hii labda kwako binafsi
Tafadhar Mkuu ulitaka mfilisike mara ngapiJK ametuangusha sana sisi tuliomchagua. Huwezi amini JK angeendelea kuongoza nchi ingefilisika.
vp kuhusu thamani ya Shilingi?Kilometer za Barabara zilizojengwa kipindi cha Jk ni zaidi ya jumla ya alizojenga mkoloni, nyerere, mwinyi na mkapa! Shule za sekondari zilizojengwa kipindi cha kikwete ni nyingi kuliko jumla ya shule za sekondary zilizojengwa na mkoloni, nyerere, mwinyi na mkapa! Kuna udom pia, Dart, etc alot has been done under jk, sidhani kama kuna raisi atakayekuja kuifikia rekodi yake!
Huyu rais alikuwa ni janga kubwa. Tunashukuru aliyempokea ni Magufili kwani angechukua Lowassa au Membe Tanzania ingeangamia. Lile kundi la wana mtandao la 2005 lilikuwa na viongozi legelege na wezi sana.Kilometer za Barabara zilizojengwa kipindi cha Jk ni zaidi ya jumla ya alizojenga mkoloni, nyerere, mwinyi na mkapa! Shule za sekondari zilizojengwa kipindi cha kikwete ni nyingi kuliko jumla ya shule za sekondary zilizojengwa na mkoloni, nyerere, mwinyi na mkapa! Kuna udom pia, Dart, etc alot has been done under jk, sidhani kama kuna raisi atakayekuja kuifikia rekodi yake!
Upole wake ulikuwa na faida gani kwa taifa?
Una miaka mingapi kijana?
Ulishawahi kusafiri Kutoka Dar hadi Mwanza au Bukoba kabla ya Kikwete kuwa Rais?
tutakukumbuka kwa kutuletea vifaru na kutudhalilishaHii kauli hakika wengi hatukuielewa maana yake sasa ndio nimeanza kumuelewa Kikwete. Tutakukumbuka Jk.
Faida yake ni kusababisha watu wake kulitafuna taifa bila huruma, wameichaka nchi na ingekuwa nguo, haifai hata pa kushonea virakaUpole wake ulikuwa na faida gani kwa taifa?