Kikwete kutinga Mahakamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kutinga Mahakamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiraia, May 4, 2011.

 1. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Raisi Jakaya Kikwete ametajwa kuwa mmoja wa mashahidi muhimu sana wa professa Costa Mahalu na ameitwa mahakami kwa ajili ya kutoa Ushahidi.


  Source mwanahalisi ya leo 4/05/2011
   
 2. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli. Yeye ni shahidi muhimu sana maana akiwa Waziri wa Mambo ya nje alitetea ununuzi wa nyumba hiyo ya Ubalozi kwamba umefuata taratibu zote pamoja na sheria ya manunuzi. Ninachojiuliza kila siku ni je, endapo alinukuliwa akitetea (bungeni) ununuzi huo, inakuaje anaruhusu Prof kuburuzwa mahakamani na DPP? Nahisi ni kiini macho kingine hiki.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Alitakiwa tangu siku nyingi walikuwa wakimuonea haya tu sasa kijana Kubenea ameamua kutufumbua macho
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hii ni conflict of interest!
   
 5. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Gazeti la Mwanahalisi haliko mitaani leo! Kila nilipokwenda walisema halijasambazwa! Kumbe pengine ni sababu ya Habari Hii!!!!!!! Makubwa
   
 6. M

  Msharika JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tutashuudia akienda na Kagoda, IPTL na kadhalika pia.
  Hongera Kubenea kwa kuwafumbua watanzania Macho
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Marais wetu wa ngozi nyeusi na unyanyasaji wao chini ya dhana potofu ya 'ABOVE THE LAW', sijui kama atakua wa kwanza kutii sheria na kwenda mahakamani bila kuleta longolongo vile???????????
   
 8. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hapa mwenge yapo yanauzwa kila meza
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  dokezeni,limeandikwa nini in it??manake nikishaanza kusikia gazeti flani limekuwa ''un-rechabo today'' huwa nakuwa na hamu kweli na nashikwa na kiwewe maramoja!!
   
 10. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Gazeti linapatikana labda kama wameamua kupita mitaani kulikusanya ila mimi nimelinunua Mandela road asubuhi ya leo
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi namshangaa sana huyu profesa wa sheria asiyejua au asiyetaka kufuata sheria. Huy bwana alishtakiwa na ushahidi ulipoletwa mahakamani akaonekana ana kesi ya kujibu. Tokea hapo amekuwa akifanya sarakasi za kuhakikisha kwamba hajitetei na kwa bahati nzuri mbinu zake zote zimegonga mwamba katika kila hatua.

  Sasa wametengeneza njama za kutaka kuilazimisha serikali kutoa hati ya kufuta mashtaka na mbinu hizi zinaratibiwa kwa karibu sana na Mabere Marando na kiongozi mwandamizi mstaafu aliyehudumu katika awamu ya Rais mwinyi. Walianza na kumdanganya mzee Mkapa kwamba hati ya kiapo atakayoiapa inatakiwa serikalini kwa ajili ya kufuta mashtaka kwa hati maalum (Nolle Prosequi) na kwamba haitakwenda mahakamani, baada ya mawakili wa serikali kukataa wakaitoa gazetini ili kuchafua jina la Mzee Mkapa. Ilisikika kwamba wanapanga kuandika barua kwenda kwa Rais Kikwete ili kuomba atoe ushahidi lakini nia yao ilikuwa ni kufanya hivyo na hatimaye kuipenyeza barua hiyo magazetini ili ionekane Rais anafanya kiini macho uendeshaji wa kesi ya Mahalu na ionekane Mahalu anaonewa au hakuna nia thabiti ya kushughulikia ufisadi. Mambo hayo yanafanywa na wanasheria hao kwa dhamira mbaya na ovu. lakini la kujuiliza hapa ni kwamba Je, Nolle itatolewaje wakati tayari mshitakiwa ameonekana ana kesi ya kujibu, ikiwa na maana kwamba ushahidi uliotolewa ulitosha kutia hatiani kama mshtakiwa hatatoa utetezi? Na sasa hata maamuzi ya Mahakama ya Rufaa yamebainisha wazi mazingira ambayo Nolle inaweza kutolewa na kesi hii haijazingatia mazingira hayo. Walitaka itokee hivyo ili huyo huyo Marando asimame jukwaani akidai kwamba serikali inahadaa watu kuhusu vita vya ufisadi.

  Wanajaribu kuunganisha hilo na Hansard inayomnukuu Rais (wakati huo akiwa waziri) akitetea kwamba ununuzi huo ulikuwa halali na uliozingatia sheria ili ionekane kwamba hata yeye alimsafisha. Lakini kilicho wazi ni kwamba Rais aliyatamka hayo kabla ukweli wa skati hili haujabainika na Rais alizingatia nyaraka zilizokuwepo wakati huo. Baadae ilipokuja kupatikana taarifa ya ufisadi na uchunguzi kufanyika ndipo ilipobainika kwamba taarifa za mwanzo hazikubainisha ukweli huo.

  Mpango huu wa kupeleka habari hii kwa Mwana Halisi, ulipangwa na unajiuliza kwa nini Marando huyo huyo aliyeandaa barua hiyo aifikishe gazetini kabla hata huko Ikulu haijafikishwa! Hapa kuna siri kubwa na uovu wa hali ya juu.
   
 12. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Kwenye gazeti wanasema anaweza asitinge mahakami moja kwa moja kwa kuwakilisha hati ya kiapo (affidavit) itakayoelza anachokifahamu kuhusu Pro. Mahalu na utendaji wake kuhusiana na ununuzi wa nyumba ya kibalozi mjini Roma.
   
 13. m

  mkulimamwema Senior Member

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndio serikali ya JK na bado tutaona mengi Eee MUNGU tuhurumia watu wko na haki itawale TANZANIA
   
 14. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  haki za kweli zitatendeka ccm itakapowekwa kapuni na ukweli wa yaliyotokea kwenye rasilimali zetu kuanikwa wazi. wapo wengi wanaostahili kushtakiwa na watashitakiwa tu ...however old kama yule jenerali wa chile (Pinochet?)
   
 15. h

  hans79 JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mojawapo ya vielelezo ni barua toka wizara ya mambo ya nje ambayo inathibitisha ya kuwa nyumba hiyo ilinunuliwa kwa bei sahihi na haina tatizo lolote na aliyesaini ni jk,je ile barua aliiandika ya nini?na pia kwa sababu ipi?ili kupata ukweli wa ile barua anayetakiwa kutolea maelezo ni mhusika.nilikuwepo siku ya barua hiyo ikisomwa na shahid upande wa serikal alishindwa kueleza wasifu wa elimu yake kwan alisema kasoma la la la mpaka juu na ndiye aliyethibitisha kuwa waziri ni mwongo,je ni nani anatakiwa kuikana ile barua kama si wazir husika?
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  kazi ipo! ni moja kati ya marais watakao malizia maisha yao jela. poor kikwete!
   
 17. m

  mtumishiwamungu Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu Rahisi (nimemaanisha sijakosea) wetu nionavyo mimi anatakiwa kuwa shahidi wa kesi nyingi kubwa kubwa sana!!! Je inawezekana, haya!!??
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hata hawa lazima waende kwa Pilato!
  [​IMG]
   
 19. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Labda siku ukionewa wewe ndo utajua utamu wa kuonewa ladha yake nini. Huyu Profesa alipewa POA (Power of Attorney) afanye ununuzi kama alivyoelekezwa ( kuzingatia maslahi ya Taifa, mwenye nyumba alitaka hivyo na kinyume cha hayo angeuza kwingineko) sioni issue ya taaluma yake hapa inahusikaje. Wewe unafikiri wapiganaji wanaouwa maadui vitani hawajui kuua ni haramu? Achenu unafiki. hapa si9gusi ussue za moral na ethic codes.

  Mbopo umetumwa?
   
 20. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Ili haki itendeke, au ionekane inatendeka -- misingi ya sheria ambayo bila shaka JK mwenyewe anaisamimia kutokana na kiapo chake cha urais, basi ni muhimu akaenda mahakamani kutoa ushahidi ya kile alichosema Bungeni. Kule ndiko atasema "Sorry, nilikosea sana au nilikuwa naweatania Wabunge kuhusu uhalali wa manunuzi ya nyumba, au nilikurupuka, ningefanya utafiti kwanza kama ufisadi haukufanyika."

  Na JK akienda Mahakamani ajiangalie -- Marando anaweza kumbana hadi akakubali mwenyewe kwamba yeye ni muongo!
   
Loading...