Kuna post nilisema rais wa nchi analumbana na common mwanachi magazetini, nikauliza je huyo mwananchi akijibu rais naye anaendelea kujibu? Haijapita siku Lissu kajibu tusubiri rais ajibu tena, Only in Tanzania.
Nasubiri siku jk atakapo mwaga ukweli wote wa escrow na hivyo kumfanya lowassa kuanguka kwa aibu ktk sanduku la kura.
Naamini hautomgusa magufuli kwa namna yeyote, kudhurika itakuwa Edo na washirika wake.
Sorry, I mean Richmond kwani ndicho alichokigusia kigoma. Very sorry ndg zamoyoni
Kwani Richmond bado ipo? Si mitambo ile walichukua dowans then Symbion ya Marekani au? Sasa tuna haja gani ya kumjua mmiliki wa kampuni ambayo haipo? Guys lets be serious. Halafu JK kasema mmiliki Lisu anazunguka naye halafu Lisu asipomtaja yeye atatoka hadharani kumtaja. Si tayari ameshamtaja ?au ndio yale yale ya Lowasa kuwa amri ilitoka ngazi za juu??? Hee kwani huwezi kusema kutoka kwa nani Raisi??? Politics banaSwala sio kumgusa Magufuli.
Swala ni: Rais ANAJIDHALILISHA. Analumbanaje na wanasiasa majukwaani badala ya kuchukua hatua stahiki?!
Rais ameshikilia dola, ana haja gani ya kulumbana?! Achukue hatua.
kama ni kujiuzulu Kikwete anastahiki kutangaza mara moja amejiuzulu ,yaani kesho ajitokeze na kutangaza ,ni aibu kuendelea kuitwa Raisi wa nchi ,kwa sababu Raisi inakuwaje alalamike kwenye majukwaa kwamba fulani anefuatana na Lissu ndie fisadi linalohusika na Richmond ,
Na Lisu nae amemjibu Kiwete kwamba yeye ndie anaemiliki dili la richmond ,raisi ameshindwa tena ameshindwa katika dakika za mwisho.
Sijui tuitishe maandamano Nchi nzima kumutaka raisi ajiuzulu kwa kuwa anajibizana kwenye majukwaa baada ya kuchukua sheria.
Bwa'mdogo...mbona hujiulizi maswali ya msingi baada ya kupata hizo taarifa?
Kwanini Lowassa hajakanusha?
Kwanini kazi ya kujibu wamempa mropokaji Lissu?
Kwanini Lowassa hajakubali mdahalo kati yake na Sitta, Mwakyembe? Funguka akili wewe mmekumbatia fisadi...wake up
Faizafoxy toka kwenye mapigano na utekaji njoo huku utoe ufafanuzi.
Sitta na mwakyembe sio size ya lowassa,lowassa mdahalo afanye na magufuli sio hao,midahalo ya nn si waende mahakamani?Bwa'mdogo...mbona hujiulizi maswali ya msingi baada ya kupata hizo taarifa?
Kwanini Lowassa hajakanusha?
Kwanini kazi ya kujibu wamempa mropokaji Lissu?
Kwanini Lowassa hajakubali mdahalo kati yake na Sitta, Mwakyembe? Funguka akili wewe mmekumbatia fisadi...wake up
Nasubiri siku jk atakapo mwaga ukweli wote wa escrow na hivyo kumfanya lowassa kuanguka kwa aibu ktk sanduku la kura.
Na akumbuke hotuba aliyotoa alipokubali kujiuzulu kwa LowassaMimi nmeshangazwa sana aise. Hii ni aibu kubwa.
Najaribu kufkiria kwamba, kama jk atamtaja mmiliki kama alivotishia.
Ni Lazima aweze kujibu maswali haya;
1. Kwahiyo ulimjua siku zote hizo?
2. Kwanini umtaje leo?
3. Wewe kama Rais unadhani ni sahihi kulalamika jukwaani?
4. Wewe kama Rais ulichukua hatua gani kisheria?
Naona JK sjui aliwaza nini kutamka vile. Amejiweka kwenye nafasi mbaya sana.