wabunge wengi wa ccm ni wanafiki. Kwenye suala la kunenepesha mitumbo yao huwa wanafurahi sana. Na mwaka huu jino kwa jino tunahakksha hawarud bungeni.
napoteza muda wangu bure kushindana mwehu kama wewe .zaidi yako ni wagonjwa wenzake wa mirembe akina Lizabon na laki si pesa ndo wahuni wenzako hao unatakiwa kujadiliana .
hujanijibu swali langu wabunge walio wengi kwenye hizo kamati wanatoka chama gani mbona hoja za upinzani mnafanikiwa kuzizima mbona kwenye posho hajafanikiwa .
Zitto Zuberi Kabwe wa ACT ndio pekee anayeweza kuikataa Posho hii ya sasa na hata zijazo lakini Wabunge wote wa CHADEMA watakinga mikono upesi sana wakifuatiwa na wa NCCR, CUF & CCM
Kikwete hana historia ya kupinga kitu kikishatoka bungeni, wabunge waangalia maslahi lakini mkuu wa nchi alitakiwa aangalie Taifa yeye sana sana apo atakenua tu
Wamefanya kazi nzuri kwenye lipi? Deni la Taifa sasa limefikia Trilioni 40 toka Trilioni 10 shilingi inaendelea kuanguka kwa kasi ya kutisha. Elimu DORO, matibabu DORO, maji umeme DORO, usafiri DORO, miundo mbinu DORO. Sasa hiyo kazi nzuri wameifanya kwenye lipi hasa.
yes ukawa nao ni wachumia tumbo hukumbuki walichukua posho za bunge maalum halafu wakasepa na hawajarudisha mpaka leo sasa si ufisadi au umevaa miwani ya mbao