wewe ndo mjinga huelewi chochote mbona ameshindwa kujibu .
sipendi sana kutukanwa na machokoraa kama wewe,kwahiyo shika adabu yako ,sawa dogo,usinifanye nipoteza mda wangu kudeal na wewe.kama hujafunzwa nidhamu nitakufundisha,
una heshima gani wewe mpuuzi na mjinga kama wajinga wengine .
huku ni kuishiwa hoja kabisa ngwajima ndo nani huyu.sijasema mimi nina heshima,nimesema ntakufundisha adabu,mitoto mijinga kama wewe ndo kazi yangu kuinyorosha.
kimtu eti kinashabikia siasa,hakuna hata advantage utapata zaidi ya kupoteza mda humu,au umelipwa na ngwajima,eeh?
View attachment 251455
wewe ni chizi.
huku ni kuishiwa hoja kabisa ngwajima ndo nani huyu.
sasa wewe una point gani humu zaidi ya mara kwa mara kumtetea huyo kiongozi wa misukule humu jf?
ntakuzidi wewe kweli unashabikia kitu ambacho hakiwezi kukunufaisha wewe binafsi?
Kwahoyo wabunge wa ccm walishindwa kutumia wingi wao kuzuia posho hizo kama ambavyo huwa wanapitisha miswaada mingine?
wewe ndo msukule usiyejitambua kiongozi wa misukule ndo nani au umechangikiwa sijui umekula maharage ya wapi mpuuzi wewe
wewe utakuwa umetoroka mirembe
ha ha ha,kama huna kumbukumbu kiasi hicho utakua ni msukule,umetoroka mortuary
msukule si ndo wewe,ama hujitambui ?,au huwa unapost halafu unasahau,?which means unapost bila ku engage your diminishing brain,otherwise ungekuwa na kumbukumbu ya mambo unayopost hapa
kwenye posho walishindwa lakini kwenye miswada wanafanikiwa kuzuia .
napoteza muda wangu bure kushindana mwehu kama wewe .zaidi yako ni wagonjwa wenzake wa mirembe akina Lizabon na laki si pesa ndo wahuni wenzako hao unatakiwa kujadiliana .
Hili ni Bomu baya sana, na UKAWA mnatakiwa kuwa makini saaana kuliko kipindi chochote kile.CCM walishachafuka machoni mwa jamii nzima ya Watanzania, na ccm tayari wameshajikatia tamaa ya kuongoza na sasa hivi hawana tena huruma kwa Watanzania hata kidogo.Wanachoangalia wao kwa sasa hivi ni Pesa tuuu.
Hivyo basi ukawa kuweni makini sana na huu upuuzi wa wana CCM unaweza ukawagharimu katika kipindi hiki cha kuelekea Kwenye Uchaguzi mkuu.