Amiri jeshi mkuu,mwenyekiti wa chama-that means mbunge yoyote atakaye ishutumu serikali anaweza fukuzwa uanachama then akapoteza ubunge,kinga ya kutoshtakiwa,............bonge la msululu wa mambo ya Ki-😡Ayatollah

Mtu hufukuzwa kwenye chama anapokosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama. Kutofautiana kwenye chama kupo na kutaendelea kuwepo. Kama mawazo yako yangekuwa sahihi Mbunge Selelii, Anne Kilango, etc wangeshatimuliwa siku nyingi.
Hamkusikia Selelii kwenye upitishaji wa bajeti 2009? mwenyekiti bila vikao anaweza kukuvua uanachama, akapeleka ki-note kwa spika kwisha kazi huna ubunge!
Hamkusikia Selelii kwenye upitishaji wa bajeti 2009? mwenyekiti bila vikao anaweza kukuvua uanachama, akapeleka ki-note kwa spika kwisha kazi huna ubunge!
Hiyo ndio katiba ya chama cha mapinduzi (CCM) wanachama wanatakiwa wakubaliane na mwenyekiti kama selelii anaona anonewa "he has an option to quit" aachie uanachama ndio tutaona anapigia haki zetu siyo tumbo lake otherwise mchumia tumbo.
Habari yako imekaa kibaguzi zaidi "ayatolla vs kikwete (it sounds like UDINI hivi ndio unachotaka JF kujadili?