Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
hahahah...aibu ikiisha atarudi?anakimbia aibu ya mwanae kupata zero kwenye the best school?
Nahisi ndo tatizo la kuchagua raisi aliyetokea wizara ya mambo ya nnje!!Acha uongo kaka sijui dada,pita maeneo ya ikulu utapata jibu kama yupo au hayupo,ila huu uongo wako usiwalishe watu.