Ameenda kutafuta chakula ya watanzania, hawezi kubakia Ikulu anaangalia urembo wa mama Salma huku watu wanahangaika ni heri aende Ausie kuhemea. Tehe tehe, hakuna rais hapo bali ni mtalii....
Watz tumefika mahali pabaya sana. Au ndio uhuru wa kua kwenye forum mnajimwaga mtakavyo. Kuna ubaya gani baba rtz akienda zake kupunga upepo uko. Vp ameacha meseji gani kwa baraza la mawaziri? Maana nimeona na SHEIN kaapishwa ili ahudhurie..
hivi amegoma kwenda kwenye mazishi ya shujaa gaddafi ambaye mwili wake unaozea kwenye bucha ya nyama huko mistra,halafu waarabu walivyo wajinga eti wanapita kuuona mwili uliooza kama majuha.........ukistaajabu ya mussa...........ya firauni yana nafuuuuu....