Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

kitendo cha lema kumuombea rais kifo ina maana ndani yake kuna maandalizi anafanya ya kumuua rais. kitendo cha yeye kumtukana rais ina maana anatafuta uchokozi ili ajibiwe, t=rais hana muda mchafu wa kujibizana na mini kabang, hana muda wa kujibizana mjinga ambaye alikimbia umande, hata kusoma ni shida hadi asomewe na kuandikiwa, mwizi wa magari, mhuni na mpenda vurugu. tutamjibu sisi vijana na tuko tayari kumshughulikia ipasavyo

Hamna uwezo hata chembe yakumshugulikia LEMA JEMBE ARUSHA. Endeleeni kujidanganya lema kasema kweli. Ile kauli ilitakiwa kutolewa na watu kama kina Serukamba Mkamia Maji marefu au Nape na Mwingulu lkn sio na JK MKUU WA NCH.
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

Basi unachotuambia hapa ni kwamba wewe na JK mna mawazo yanayolingana. Na sasa basi, aliyekudanganya kuwa wewe na JK ndio watu wenye mawazo ya akili kuliko Watanzania wengine wengi ni nani?
 
Nimebaini kuwa uwezo wako ni mdogo sana ni bora tu ukaachwa ulivyo....
Linganisha ulichoandika kwenye post #1 alichokujibu LENDEYSON kwenye post #14 na ulicho comment kwenye post #16...
Sijui unasimamia wapi??
 
Last edited by a moderator:
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

Unapozungumzia nchi ya kidemocrasia na yenye kufuata utawala bora, kauli ile ya Kikwete haiwezi kutolewa na Rais wa nchi. Unaweza kuipata kauli hii kwa kiongozi wa chama tu kama tulivyoshuhudia kwa mwenyekiti wa CCM.
Niungane na wewe kumtetea Rais wetu, maana Rais ni taasisi. Na yeyote anayeidhalilisha taasisi hii inampasa kuwajibishwa.
 
watu wanadai na kutaka kupotosha watanzania ya kuwa raisi ameamrisha wananchi/wanaccm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

Wanaccm kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la mwenyekiti wa ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

una akili timamu?
 
Kama ni kuadabishwa kwa kusema ukweli,basi anzeni na mimi.Kiukweli hatutaacha kusema hata kutukana kwa kauli iliyotolewa na msera mavi wenu.
 
Aise ww Adam, umepotoka na kupotosha zaidi!! Hivi huyo anaye paswa kuhamasisha watu kutojichukulia sheria mikononi ni nani? Sawa endeleeni kutoa kauli ambazo zinaboresha soko imara la migobole ili kila mmoja aweze kujilinda. Nilitehemea ukemee kauli hiyo ya rais sasa unazidi kuchochea aise umetaka silaha zipande bei kwa kasi maana kila mmoja atanunua silaha ili akichokozwa hakuna kufuata sheria ni kumshona tu!! Pole sana Adam kwa kupotoka.
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

Mkuu nasikia ni mitambo ya TCB1 ndo inapotosha, maana intranslate maneno ya viongozi wakuu wa nchi kiutofauti!! Ila wamesikia na kuna wataalamu toka China na Madagascar wa sort out!! Tuwe watulivu tu..
 
Bora nchi apewe mtu ambaye hajasoma lakini sio mswahili!
Ukishakuwa mswahili hata elimu inakuwa haina maana!
Ukishazoea kuropoka ropoka kama uko kwenye mkeka na kikombe cha kahawa na waswahili wenzako ni mbaya sana...
Binafsi sitegemei chochote cha maana kutoka kwa kiongozi huyu,nilimtilia shaka toka siku ya kwanza anaingia madarakani!
Kuna mengi yataropokwa kabla ya 2015
Mengi yametangulia pia;
*Sijui kwanini Tanzania ni maskini
*Wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao
*Foleni za magari ni kipimo cha maendeleo

Yaani kuna watu wamezaliwa na APPETITE ya kuropoka!
 
Kama nyie wapambe wake mnafikiri kuwa kiongozi wenu analishwa maneno,mwambie atoke atoe ufafanuzi juu ya hiyo kauli.Nyie mnajifanya kuielewa kauli ya Kikwete(mh) kuliko watu wengine kwa misingi gani? ina maana nyinyi mnamzidi akili sana ndio maana mnaweza kutueleza alichokuwa anamaanisha kuliko yeye mwenyewe?
Mleta maada ni dini gani inaruhusu watu wake kulipiza kisasi kama sio hisia za kishamba tuu?
Alisema hataki kura za wafanyakazi na ccm haizitegemei,pindo kasema watu wapigwe tuu,mara mkuu kasema wanafunzi wanapata mimba kwa kiherehere chao,anawajua wauza madawa kwa majina ila unawatunza,majingili vilevile.
Labda kaona haitoshi,kaamua kuwaamusha wanaccm wakapigane na wengine
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

mh!kweli wewe CCM.Sasa hapo umeandika nini?hata jk mwenyewa atakushangaa.
 
kwani wewe ndiyo umeandika nini sasa ? Mbona ni kama kumwaga petrol kwenye moto ! Badala ya kumtetea , wewe ndiyo umekuja kuthibitisha kabisa uhusika wa jk na kauli zake !
 
Watu wanadai na kutaka kupotosha Watanzania ya kuwa Raisi ameamrisha wananchi/wanaCcm kujibu vurugu za wapinzani hasa wanapopigwa. Kauli hii mimi binafsi sijaona ubaya wake kwakuwa hiyo ni kawaida kwa kila mwanadamu. Huwezi kushambuliwa na mtu halafu ukae kimya bila kujibu mapigo kisa kuna sheria, je ukifikishwa huko kwenye sheria umeshauliwa nini faida yake?.

Hata dini hairuhusu mtu kumdhulumu mwenzake kwahiyo ukishambuliwa una uhalali wa kujitetea na sio kuwa bubu ukingojea sheria.

WanaCCM kwa muda mrefu tumekuwa wapole sana hata pale makada wa vyama vyengine wanapotumwagia tindikali, kutupiga mawe,matusi na kila aina ya utwezi dhidi yetu. Sasa ni wakati wa kutokukubali dhulma hii, ni wakati wa kujibu mapigo na hilo ndio kusudio la Mwenyekiti wa Ccm la kututaka tusiwe wanyonge. Upotoshwaji wa kauli ya Raisi uachwe mara moja na yeyeto aliyechangia kupotosha jamii ashughulikiwe na vyombo vya dola mara moja.

Unamfahamu jambazi Jumanne Mjusi wa Arusha?!
 
Alichopaswa Muheshimiwa sana, Rais wa JMT, ni kuviagiza vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha hakuna vitendo vya fujo na vurugu zozote na kutomuonea haya yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa kuhakikisha Sheria inachukua mkondo wake. Hakuna aliyeipotosha kauli hiyo,kila mwenye masikio aliisikia, na zaidi sana, wenye uelewa mkubwa na mdogo, wote walielewa maana moja tu, kwamba sasa ni jino kwa jino!Kama ana kumbukumbu vizuri, Rais alishawahi kuwaambia hao hao CCM kwamba wasitegemee kubebwa na Polisi, jambo lililoashiria kwamba kuna Ushirikiano kati ya CCM na Polisi kuwahujumu wapinzani, na kuihujumu Demokrasia nchini.

Kwa kweli nilikuwa naangalia taarifa ya habari siku ya jumamosi kupitia star tv. Nilishangaa sana kauli kama ile kutolewa na mkuu wa nchi. "Wenzetu wanatumia vurugu kama mtaji wa siasa, sasa tumekubaliana na kamati kuu kuwa tuache unyonge maana hata uvumilivu una mwisho wake"
 
Back
Top Bottom