Kikwete gave Obama a three-foot tall carved ebony sculpture worth $6,000

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
List of 2009 Obama gifts revealed by state department

President Barack Obama and his family received hundreds of thousands of dollars in gifts from world leaders in 2009, the US has revealed. Among the top givers was Saudi King Abdullah, with nearly $190,000 (£119,000) in gifts to the Obamas. Ex-UK Prime Minister Gordon Brown gave Mr Obama a pen and holder carved from an anti-slavery ship and biographies of Winston Churchill, worth $16,510. By law, all the presents must go to the US National Archives.

Queen Elizabeth II gave the Obamas a framed photograph of herself and Prince Philip valued at $775.
Italian leader Silvio Berlusconi gave Mr Obama a crystal table, gold watch and glass ornaments worth $26,845. The list of gifts given to Mr Obama and his family and White House aides was released on Tuesday by the US Department of State.

Mr Brown's gifts neared the top of the list of opulent presents given by world leaders during Mr Obama's first year in office. Mr Obama, meanwhile, was roundly criticised in the British press for giving Mr Brown a box set of 25 DVDs of American films, interpreted as a snub to the UK leader.

Among the more costly gifts given to Mr Obama were:

President Barack Obama and his family received hundreds of thousands of dollars in gifts from world leaders in 2009, the US has revealed.

Among the top givers was Saudi King Abdullah, with nearly $190,000 (£119,000) in gifts to the Obamas.

Ex-UK Prime Minister Gordon Brown gave Mr Obama a pen and holder carved from an anti-slavery ship and biographies of Winston Churchill, worth $16,510.

By law, all the presents must go to the US National Archives.

Queen Elizabeth II gave the Obamas a framed photograph of herself and Prince Philip valued at $775.

Italian leader Silvio Berlusconi gave Mr Obama a crystal table, gold watch and glass ornaments worth $26,845.

The list of gifts given to Mr Obama and his family and White House aides was released on Tuesday by the US Department of State.

Mr Brown's gifts neared the top of the list of opulent presents given by world leaders during Mr Obama's first year in office. Mr Obama, meanwhile, was roundly criticised in the British press for giving Mr Brown a box set of 25 DVDs of American films, interpreted as a snub to the UK leader.

Among the more costly gifts given to Mr Obama were:

From Chinese President Hu Jintao, a silk embroidery portrait of the Obama family, $20,000

From Israeli President Shimon Peres, a bronze statue of a girl releasing a flock of doves, $8,000

From Pope Benedict XVI, a mosaic depicting St Peter's Square in Rome, a silver key chain, a gold coin and books on himself and about "bioethical questions", $7,905

From Tanzanian President Jakaya Kikwete, a three-foot tall carved ebony sculpture, $6,000

BBC News - List of 2009 Obama gifts revealed by state department
 
Uzuri wa Marekani zawadi zote hizo zitawekwa museum. Rais wa Marekani haruhusiwi kupokea binafsi na kuweka zawadi ya thamani ya zaidi ya dola 200 kama sijakosea. Ikizidi hapo inakuwa mali ya taifa. Bongo je?
 
Mkapa yeye alipewa zawadi ya gold mfano wa koleo, alipokabidhiwa tu akaikimbiza kwenye ndege, hata hakuwapa wasaidizi wake wamsaidie maana wangetokomea nayo. Hiyo ilitokea nafikiri kahama huko.
 
Jasusi,Makongorosi,

..in return Obama alimpa JK apples na jezi ya Chicago Bulls!!!
 
Jasusi,

..how much time did they spend with Obama in the oval office?

..maana walijitamba kweli kwamba JK alikuwa raisi wa kwanza toka Africa "kualikwa" white house.
 
How appropriate! Jokakuu, do you know hiyo visit ilitugharimu $500,000? Niulize tutakapoonana.

Maskini kumchangia tajiri ni Dhambi! haya ni matatizo ya kuwa na viongozi wasiosoma maandako, Quaran imekataza na Biblia pia imesema hivyo hivyo, wakati unanjaa watoto wako wanalala njaa unamchangia tajiri jirani yako ambaye anakula na kusaza!! maajabu ya bwana Kikwete.
 
Uzuri wa Marekani zawadi zote hizo zitawekwa museum. Rais wa Marekani haruhusiwi kupokea binafsi na kuweka zawadi ya thamani ya zaidi ya dola 200 kama sijakosea. Ikizidi hapo inakuwa mali ya taifa. Bongo je?

Mkuu usituulize cc, muulize mkapa aliyepewa zawadi ya vitofali viwili vya dhahabu kule Geita baada ya kusign mkata wa kizandiki wa miaka 100.huku mishavu yake ikitiririka udenda na meno yote32 nje!
Dah zis cantri bwana mmmmmmh!
 
Jasusi,

..how much time did they spend with Obama in the oval office?

..maana walijitamba kweli kwamba JK alikuwa raisi wa kwanza toka Africa "kualikwa" white house.
jokaKuu,'
Ilikuwa ni "photo op" ndio maana wapiga picha wa rais kutoka Bongo hawakuruhusiwa kuingia oval office. Nadhani kikao kilidumu kati ya dakika 30-45. Na hakualikwa. Aliomba mwaliko.
 
Uzuri wa Marekani zawadi zote hizo zitawekwa museum. Rais wa Marekani haruhusiwi kupokea binafsi na kuweka zawadi ya thamani ya zaidi ya dola 200 kama sijakosea. Ikizidi hapo inakuwa mali ya taifa. Bongo je?

tUONGEZE MOPTO KUDAI KATIBA, kwani haya yote yataelezwa bayana humo!!! chuma kimeshika moto!!
 
Uzuri wa Marekani zawadi zote hizo zitawekwa museum. Rais wa Marekani haruhusiwi kupokea binafsi na kuweka zawadi ya thamani ya zaidi ya dola 200 kama sijakosea. Ikizidi hapo inakuwa mali ya taifa. Bongo je?

NI kweli kabisa Raisi wa Marekani hapokei zawadi binafsi inayozidi dola 200. Inapozidi hapo inapelekwa kwenye national Museum. Huku kwetu sijui kama kuna kitu kama hicho. By the way Mwinyi yeye aliamua hadi kuuza wale Tausi wa ikulu...!

Ni aibu sana kwa Kikwete kutoa zawadi ya dola 6,000 wakati huku ikija siku za maulidi au krismasi anataoa ndoo mbili za mafuta na mbuzi wawili kwenye vituo vya watoto yatima...!

Shame on you Kikwete...!
 
Kwa kupenda misifa si bora ungetuma zawadi ya $ 100, then the rest ungenunulia madawati for example.
 
Jasusi,

..how much time did they spend with Obama in the oval office?

..maana walijitamba kweli kwamba JK alikuwa raisi wa kwanza toka Africa "kualikwa" white house.

jokaKuu,'
Ilikuwa ni "photo op" ndio maana wapiga picha wa rais kutoka Bongo hawakuruhusiwa kuingia oval office. Nadhani kikao kilidumu kati ya dakika 30-45. Na hakualikwa. Aliomba mwaliko.

Baada ya White House kuambiwa yuko Washington na State dept ndio wakaona si vibaya Obama akionana nae lakini akiondoka hapa haukuwa kwenye ratiba,nakumbuka sana hii issue tuliijadili sana hapa.
 
The holdings of the National Archives belong to the American people. So, our President gave the American people, a three-foot tall carved ebony sculpture worth $6,000. The President's press officer may dispute this. Hii kitu angeipeleka kwenye mnada ingepatikana pesa nyingi ya kujenga hata madarasa mawili kwenye shule moja ya msingi. Hivi Tanzania tunayo system kama hii ya Viongozi wa kitaifa ku-declare gifts or wanatia ndani regardless of it value?
 
Uzuri wa Marekani zawadi zote hizo zitawekwa museum. Rais wa Marekani haruhusiwi kupokea binafsi na kuweka zawadi ya thamani ya zaidi ya dola 200 kama sijakosea. Ikizidi hapo inakuwa mali ya taifa. Bongo je?

Ni $335.
 
Naomba kuuliza nani alothaminisha hicho kinyago?

Na msanii wa kinyago hicho ni nani?
 
hahaha....kweli kujipendekeza shughuli....
anadhani mwenzake ni fisadi...hahahhaa
 
Back
Top Bottom