Kikwete, Gadaffi na Eid

<br />
<br />
Kuhusu red hilo halina mjadala ni kadhi na sio kazi but kuhusu ilo unalisema bado haingii akilini kwa msomi mmoja unayemsema ww na ss tuungane nae kama hivyo kila litaloongelewa na msomi lisiletwe humu ndani cos halijadiliki,kuchangiwa au kukosolewa,na sisitiza ubinafsi wa baadhi ya watu ndio unaolikwamisha hili jambo na wala sivyo unavyosema ww,rasilimali ya hii nchi kuendesha mahakama ya kadhi ww unaona shida sana but kuliwa na wachache kwako ww ni ufahari
 
JK.Nyerere alisema ukienda Iran ni sunn,Ukienda Iraq ni shiha,ukienda Uingereza ni anglikani na huwezi kupata madaraka katika nchi hizo kama wewe siyo mwenye dini ile!ila ukija Tanzania hakuna Dini!Mwisho wa kunukuu!
 
 
<br />
<br />
namtetea mtani wangu JK kwa nguvu zote. Hahusiki na hili na wala msimuingize hukn. Alishawahi kusema hadharani kuwa hata yeye hakuhusika kuliweka kwenye ilani ya chama, ila kina Kingunge ndiyo wa kulaumu nafikiri. Mrema Lyatonga ndiyo wa kwanza kulaumu kama mnataka mtu wa kulaumu na si Jk jamani. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. JK HAKUHUSIKA NA HAHUSIKI KWA LOLOTE JUU YA KUWEKA MAHAKAMA YA KADHI KWENYE ILANI YA UCHAGUZI YA CCM.
 
Ninaona nguvu ya Mungu ninaemwamini pamoja na utatu wake mtakatifu ikitawala Tanzania. Sheria yake Ni timilifu na wala haiitaji kadhi kuisimamia, wala vitisho na wala nguvu ya mwanadamu na jambia. Kuja kwa mahakama hiyo kutawafanya waislaam wengi kuutamani Upendo wake nyororo Kama Sufi. Mwisho watatamani kuwa Wana wa Mungu. Tazama wote watakuwa wakristo na wataihubiri injili hata mwisho wa dahari. Hata hapatamuwepo jihad tena. Wala wakupigwa mawe na wasiwepo wa kukatwa mkono kwani wangekatwa hata na wenye dhambi kuzidi wakataji.
Libya- sasa litakuwa taifa la Mungu alie hai!
Na wala sie Huyo mwenye kaburi Mecca madina!
Aliependa kuabudiwa hata kwa matendo yake maovu.
Waislaam njooni kwa Yesu muokolewe achaneni na mambo
Ya kidunia
 

Alafu Kikwete hausiki na ule Msikiti wala hajui fedha za kujenga ule msikiti ulipatikana vipi.

Hata angejua source ya financing ya msikiti huo, issue ya Gaddafi haikuwa sehemu ya ajenda ya Baraza la Eid na ingekuwa ni jambo la ajabu kujadili masuala ya vita vya kisiasa vya nchi nyingine katika shughuli ya kidini tena katika nyumba ya ibada eti tu kwa sababu nyumba hiyo imejengwa na huyo anayepigwa vita. Wala jukumu la shukrani haliko kwa Rais wa nchi kwani waliojengewa wanamjua aliyejenga na wana njia ya kutoa shukrani na nina uhakika wameshashukuru.
 

Hii ni bangi ya tarime au ya njombe? Si lazima uchangie kama kile utakachochangia kitakuwa na madhara ya kufichua ujuha wako.
 
&lt;br /&gt;
&lt;br /&gt; Jiangalie wewe, cheza na wakristo wenzio, si waislamu. Nafikiri hujajua vizuri waislamu wewe. Utachinjwa hivihivi, au ujifiche maisha yako yote. Unajua Salman Rushdie yupo wapi? Cheza na vingine, ogopa kabisa uislamu.
 

Aliyesema nyie sio watoto ni JK, kuhusu Kadhi kupewa pesa za umma sio sawa. Walipa kodi sio waislam tu. Think like lawyer.
Jiliwaze na hii;
[video] www.youtube.com/watch?v=_230sZ6rjxw[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…