Kama una habari mpya tuleteeJamani tumeshajadili sana hizi habari za Jk na Eid
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza sana juu ya Kikwete kuhutubia katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma siku ya Eid bila kuongea lolote juu ya Gadaffi. Najiuliza sana kulikoni!!? Msikiti umejengwa kwa pesa za Gadafi lakini katika madhila yalomkuta rais haoni hata haja ya kumtaja walau kwa shukrani ndani ya huo msikiti!!?? Na la zaidi ni ile hotuba yake ilivyowashughulikia waislam wenzake bila haya.!! Hivi msimamo wa Jk kiimani ukoje!!?
Baraza la Eid halifanywi na Rais ila anaalikwa na Bakwata ambao ndio wenye shughuli na ndio wanaochagua wapi watafanya mwaka huo.
Na msikiti ule tambua kuwa umejengwa kwa ajili ya waislamu na sio kwa ajili ya Jakaya<hivyo wa kushukuru ni waislamu na sio Rais.
Na kwenye ile hotuba aliongea kama Rais.Kama ulitaraji kwa kuwa Rais ni muislami basi atumie hela za walipa kodi kuanzisha mahakama ya kadhi basi umechemka sana mkuu
Husemi ukweli hapo. Katiba inasema hivi:katiba haieleweki,
Husemi ukweli hapo. Katiba inasema hivi:
Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na
shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya nchi.
Ib. 19 (2)

Katiba iko very clear and straight-forward; "kufanya ibada na kueneza dini .... itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi".

Wao wanakiri kabisa, wala hawamung'unyi maneno, kwamba Mahakama ya Kadhi ni IBADA halafu wanataka makama hiyo hiyo (ibada) itambuliwe  kikatiba. Hawa jamaa sijapata kuona. Lakini siamini kwamba hawajui haya yote ila shida ni ubinafsi na ajenda za ajabu ajabu walizo nazo.

Pia imekuwa vizuri hata Mh. Rais katahadharisha kujiepusha na mijadala ya kidini wakati wa mchakato wa katiba mpya. Ni muhimu sheria ya katiba mpya ikazuia kabisa upuuzi huu.

Mbinafsi ni wewe na sio wao,pmj na mengine yote kinachotakiwa na waislam ni idhini na serikali iitambue mahakama ya kazi kama mfuatiliaji wa suala hili lilipoanza kutolewa mlisema hamlitaki cos hii sio nchin ya kiislam now mnalikubali cos serikali imejitoa kwa hili so nani mbinafsi mwanzo ulikataa kabisa na yakatolewa matamko mengi tu ya makanisa mbalimbali sasa malikubali ila mnataka serikali isihusike hapo ndio ulipo ubinafsi,wakati mnakataa serikali isihusike kwa hili basi serikali iruhusu waislam wajiunge na OIC ili wawe wafadhili wa mahakama hiyo,kujiunga huku hakutapingana na katiba yenu uchwara
Ndugu Wananchi, Gadaffi alipokuwa anafungua msikiti wa jijini Kampala aliikashfu sana Biblia Takatifu na akasema kuwa kama angekuwa na uwezo asingependa iwepo..... Nasikia raha kwamba sasa Bibilia itajipenyeza kwa madaha nchini Libya. Soma Mathayo 24:14!! JK aseme nini sasa? Gadaffi alikuwa na ndoto ya kutawala Africa kama rais wa kwanza. Nadhani haamini yaliyotokea. Usicheze na Biblia!! Kwa JK kutokusema lolote katika msikiti wa Dodoma, binafsi nampa big up!!!

Mbinafsi ni wewe na sio wao,pmj na mengine yote kinachotakiwa na waislam ni idhini na serikali iitambue mahakama ya kazi kama mfuatiliaji wa suala hili lilipoanza kutolewa mlisema hamlitaki cos hii sio nchin ya kiislam now mnalikubali cos serikali imejitoa kwa hili so nani mbinafsi mwanzo ulikataa kabisa na yakatolewa matamko mengi tu ya makanisa mbalimbali sasa malikubali ila mnataka serikali isihusike hapo ndio ulipo ubinafsi,wakati mnakataa serikali isihusike kwa hili basi serikali iruhusu waislam wajiunge na OIC ili wawe wafadhili wa mahakama hiyo,kujiunga huku hakutapingana na katiba yenu uchwara

Mbinafsi ni wewe na sio wao,pmj na mengine yote kinachotakiwa na waislam ni idhini na serikali iitambue mahakama ya kazi kama mfuatiliaji wa suala hili lilipoanza kutolewa mlisema hamlitaki cos hii sio nchin ya kiislam now mnalikubali cos serikali imejitoa kwa hili so nani mbinafsi mwanzo ulikataa kabisa na yakatolewa matamko mengi tu ya makanisa mbalimbali sasa malikubali ila mnataka serikali isihusike hapo ndio ulipo ubinafsi,wakati mnakataa serikali isihusike kwa hili basi serikali iruhusu waislam wajiunge na OIC ili wawe wafadhili wa mahakama hiyo,kujiunga huku hakutapingana na katiba yenu uchwara
Pumba as usualMahakama ya Kazi ndo nini?? Mimi nafahamu Kadhi na sio kazi na hii inadhihirisha wengi mnalilia jambo msilolijua. Serikali kutoa mfuko maalum wa kusimamia Kadhi ni sawa na kusema serikali iratibu ibada ya waislamu. Fanyeni mpango mjenge shule msomeshe watoto, wacheni mijadala ya kukejeli dini zingine, andikeni proposal kwa wahisani mmepewe misaada ya kijamii nadhani baada ya hapo akili zenu zitaanza kujadili mambo ya msingi. Narudia tena "Mahakama ya Kadhi itahusu mirathi na ndoa tu na iendesheni kwa pesa zenu kwani nyie sio watoto wadogo

Mahakama ya Kazi ndo nini?? Mimi nafahamu Kadhi na sio kazi na hii
inadhihirisha wengi mnalilia jambo msilolijua. Serikali kutoa mfuko maalum wa kusimamia Kadhi ni sawa na kusema serikali iratibu ibada ya waislamu. Fanyeni mpango mjenge shule msomeshe watoto, wacheni mijadala ya kukejeli dini zingine, andikeni proposal kwa wahisani mmepewe misaada ya kijamii nadhani baada ya hapo akili zenu zitaanza kujadili mambo ya msingi. Narudia tena "Mahakama ya Kadhi itahusu mirathi na ndoa tu na iendesheni kwa pesa zenu kwani nyie sio watoto wadogo"

Hakuna aliyewahi kukataa uanzishwaji wake wala uendeshaji wake, kilichokataliwa ni kule kuanzishwa na kuendeshwa kwa gharama za serikali. hata walw wanaoitaka ndivyo wanavyotaka, mambo kufanywa na serikali. na hata pale itakapoanzishwa lazima ifuate misingi ya katiba ya nchi, kuiba na kukatwa mkono, ama kufumaniwa na kupigwa mawe kusiwepo ndani ya hukumu za makadhi.

nafiri hapo tupo pamoja mkuu.