Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Wape uhuru watu wajadili "priorities"; ukitaka watu wajadili unachotaka wewe then hii haiwezi kuitwa discussion. Skip a topic which you think is boring for you.Mwasheni JK awe JK. Kila kukicha JK angalia Museveni. JK angalia Natanyahu.
Kama hakuna cha maana cha kuandika kwenye ukumbi wa siasa, basi ukumbi wa porojo unawasubiri.
Wape uhuru watu wajadili "priorities"; ukitaka watu wajadili unachotaka wewe then hii haiwezi kuitwa discussion. Skip a topic which you think is boring for you.
But for real this topic is very relevant!
Mwasheni JK awe JK. Kila kukicha JK angalia Museveni. JK angalia Natanyahu.
Kama hakuna cha maana cha kuandika kwenye ukumbi wa siasa, basi ukumbi wa porojo unawasubiri.
Yaani watu wanapozungumzia kuhusu kubana matumizi kwa ajili ya nchi yetu wewe unaona ni mambo yasiyo na maana eti kwa kuwa jina la JK limetajwa? Wake up please!
Last update - 18:10 09/12/2009
Netanyahu cancels trip to Copenhagen climate conference
By Barak Ravid
Prime Minister Benjamin Netanyahu has canceled his planned trip next week to the Copenhagen summit on climate change.
In the last week, Netanyahu aides have wavered back and forth as to whether the prime minister would travel to the summit. At one point, the premier attributed his hesitation to Iranian President Mahmoud Ahmadinejad's presence at the event.
Source: Haaretz http://www.haaretz.com/hasen/spages/1133908.html
...... exactly my point above last post.........