naangalia hapa live mkuu wa kaya akiwa lindi, ametoa mojawapo ya mafanikio kuwa "TUMEJENGA SHULE ZA KATA", amesahau kuwa shule hizo zilijengwa kwa nguvu ya lowasa, na tangu ajiuzulu hawajaziendeleza miaka 8 imeisha. hivi nani wa kuchukua credit kwenye suala la shule za kata? lowasa ameingia miaka miwili kafanya mabadiliko rundo, akajiuzulu na yote aliyokuwa ameyaanzisha hayajaendelezwa hadi leo. jaribu kutafakari......
kwa sisi kina gogo la shamba hapo tunaona hakuna tofauti ya jinsi walivyojimilikisha uwanja wa shekh Amri Abeid wa Arusha japokuwa uliengwa kabla ya ccm kuwepo, shule za kata ziliengwa na watanzania wote bila kujali itikadi za chamanaangalia hapa live mkuu wa kaya akiwa lindi, ametoa mojawapo ya mafanikio kuwa "TUMEJENGA SHULE ZA KATA", amesahau kuwa shule hizo zilijengwa kwa nguvu ya lowasa, na tangu ajiuzulu hawajaziendeleza miaka 8 imeisha. hivi nani wa kuchukua credit kwenye suala la shule za kata? lowasa ameingia miaka miwili kafanya mabadiliko rundo, akajiuzulu na yote aliyokuwa ameyaanzisha hayajaendelezwa hadi leo. jaribu kutafakari......
Laiti angejua kwamba yeye mwenyewe anajidhalilisha.Kwa kweli, kwa watu wenye akili za kawaida tuu, shule za kata ni janga la elimu na matusi kwa watanzania.Angekuwa analijua hili,hata kuzitaja asingezitaja.
shule za kata zimejengwa na wananchi kwa msukumo wa lowasa wakati akiwa waziri mkuu.
[h=5]Yericko Nyerere
[/h]1 hr ·
PROFESOR LIPUMBA YUPO KIGALI RWANDA NA AMEPANGISHIWA HOTEL CHINI YA OFISI YA UBALOZI NCHINI RWANDA.
HABARI ZA KIJASUSI ZINATHIBISHA KUWA NI MOJA YA MAKUBALIANO YA KIKAO CHA SIKU MBILI MFULULIZO OFISI NDOGO YA LUMUMBA MUDA MFUPI KABLA YA KUJIUZURU. HABARI ZA KIJASUSI PIA ZINATHIBISHA KUWA ACCOUNT YAKE ILIYOPO NMB IMEWEKEWA JANA KIASI CHA SHILINGI BIL. 3.5 ALIYEWEKA NI AFISA WA WALE WA SUTI NYEUSI AKISINDIKIZANA NA MMOJA WA MAOFISA FEDHA NA UCHUMI WA CCM NA FEDHA IMEWEKWA KUPITIA TAWI LA TEGETA LILILOPO JENGO LA KIBO COMPLEX