Kikwete/CCM Crisis Everywhere...Thats Why Ignorant People Voted for CCM. What Next?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kuna wananchi kweli walipigia hiki chama kura. Kitu gani kina mtoa mtanzania nyumbani kwenda kusikiliza hotuba ya Kikwete au Mkapa? Tumeendelea kusema tangu awali, wananchi hiki chama sio chenu na hamsikii mnaendelea kuwapa support kutokea kuwapa mikono na kupiga makofi. I hope now there people surrounding Kikwete, Pinda, Mwinyi na viongozi wa CCM kuwafuta machozi. Watanzania tuache kudanganywa kila mara kuna chochote kile kitaletwa na CCM Tanzania. Mabaya na Vifo vimetokea miaka mingi sasa na wiki hii tumejionea wenyewe "Jinsi Uongozi Wao Unavyofanya Kazi Kulinda Wananchi" Hakuna Credibility Yeyote ile Nawapa Serikali au chama" Kinachofuata ni uongo na wananchi kuendelea kupata shida.

How Long We Want These Things to Continue? It's Up to Us to Change All These

bomu-msafara-jk.jpg

Msafara wa Kikwete. Angalia Magari na Gharama Zinazotumika kwa Pesa za Wananchi. Is this Leadership?

Waziri+wa+Ulinzi%252C+Dk.+Hussein+Mwinyi+akizungumza+na+Mkuu+wa+Majeshi%252C+Jenerali+Davis+Mwamunyange+baada+ya+Rais+Jakaya+Kikwete+kukagua+eneo+la+tukio..JPG

Waziri Mwinyi Akiongoe na Jeshi. Is this Accountability? All he want is to become Fisadi Like His Father.

4.jpg

Wananchi Wanahama Hawajui Wanakokwenda na Hakuna Msaada Wala Leadership Toka kwa Kikwete Wala CCM. Is this OK Wakati Kikwete/Pinda Wanakaa na Kuendesha Magari ya Kifahari Nchi Maskini?

"Watanzania Taifa Linawahitaji Kuondoa Hiki Kikundi cha Mafisadi"
 
Kama ccm walishinda kiuhalali basi wabongo wameshazoea shida....Hadi pale watakapouona umasikini ni adui wa maisha,ndipo watakapotaka kuona accountability kutoka kwa viongozi waliowachagua.
 
Back
Top Bottom