Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.
Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.
Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.
Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
.zis is ze pumba spekin in zis taim. Braza, nekst taim trai tu uz yua guud akiliz
.zungumzia quality na siyo quantity
Mtanilipa nini huko, ikiwa posho za laki mbili kwa siku mnapigia kelele? mie nafunguwa disko niuze vitoto vya kike, inalipa sana, kama unabisha muulize mwenyekiti.
Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?

Mpango wa shule za kata mbona ulianzishwa na Mkapa na umeuawa na JK? Ajenge shule 6000 atazinya wapi wakati mokopo tu kwa elimu ya juu waliyoanzisha wenzake imemshinda? Kadanganye mazuzu wenzako wasiopenda shule.Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?
Ungekuwa huna shule hao waalimu ungewapeleka wapi? ungekuwa huna shule ungejenga nyumba za waalim? ungekuwa huna shule ungeongeza wanafunzi? ungekuwa huna shule ungevunja monopoly? ungekuwa huna shule ungejenga vyoo?
Usishangae shule kutokuwa na vyoo, utamaduni wa vyoo kwa watu wa bara umeanza hivi karibuni tu. Wewe alikotoka babu yako kuna vyoo? Usijali, tutawafundisha taratibu utamaduni wa vyoo na utamaduni wa kutumia maji unapomaliza haja zako, muda si mrefu mtaanza kujenga vyoo na kuvitunza ipaswavyo.
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.
Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.
Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.
Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
Kila siku huwa nasoma humu Jamvini kuna kundi linalojitapa kuwa la wasomi Tanzania swali langu hivi huo usomi wao umelisaidiaje taifa letu?
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.
Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.
Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.[/QUOTEunampa credit asiyostahili. shule alijenga lowassa. tanngia ameondoka lowassa hamna kinachoendelea
]