Mkuu wangu shukran sana hakika hii ndio ilikuwa wasiwasi yangu kubwa sana na kama imefanyika Tanzania nzima basi nakuhakikishia hakuna sababu ya kushindwa.Mkandara
Hilo limefanyika kwa hakika na kwa taarifa yako sehemu hizo si nyingi maana sehemu pasipo na mbunge kuna diwani. Pale ambapo hakuna kabisa, chadema wameweka wasimamizi. Naandika kutoka jimbo la Mkanyageni amabako hakuna yeyote isipokuwa Dr. Slaa na tayari tuna wasimamizi na mawakala.
Binafsi nadhani Kikwete atashinda iwapo tu, uchaguzi hautakuwa huru na wa haki.
Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema...
Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao hawakusimamisha mgombea iwe Mbunge au Diwani.
Toka nimesoma michango mingi ya wana Chadema hapa kijiweni inaonyesha kwamba nguvu kubwa ya chama Chadema imewekwa sehemu ambazo wamesimamisha wagombea na ikumbukwe tu kwamba kwa kila sehemu ambayo Chadema haikusimamisha wagombea wake ktk Ubunge na Udiwani bado Dr.Slaa ni mgombea, hivyo kutokuweka msimamizi ina maana kura zote ktk vituo hivyo zinaweza kuchakachuliwa na kupewa Jakaya Kikwete.
Hivyo ni muhimu kwa Chama Chadema kuweka wasimamizi ktk kila kituo cha kupigia kura regardless ili kuhakikisha ushindi wa Dr.Slaa unapatikana, laa sivyo Chadema kama chama kitakuwa hakikumtendea haki mgombea wetu wa kiti cha Rais na wananchi kwa ujumla.
Tusije mlalamikia Mungu kwani yeye kisha ifanya kazi yake..

Well said, mkuu! Nikiwa moja ya watu ambao nimekuwa very critical na Chadema partly because they lack good and well coordinated organizational structure nationwide, nakubaliana na wewe katika hili jambo 100%. Ningependa sana kuona chama kingine tofauti na CCM kikiongoza nchi. And I believe Dr. Slaa ana stand good chance this year ku-pull an upset kama [narudia hapa: "kama"] Chadema wataweka wasimamizi makini katika kila kituo cha kupigia kura/nchi nzima. Ila, am very skeptical kama wataweza kufanya hivyo. Lakini kama wakiweza kufanya hivyo, then I'm pretty sure matokeo ya mwaka huu yatakuwa tofauti kabisa.Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema...
Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao hawakusimamisha mgombea iwe Mbunge au Diwani.
Toka nimesoma michango mingi ya wana Chadema hapa kijiweni inaonyesha kwamba nguvu kubwa ya chama Chadema imewekwa sehemu ambazo wamesimamisha wagombea na ikumbukwe tu kwamba kwa kila sehemu ambayo Chadema haikusimamisha wagombea wake ktk Ubunge na Udiwani bado Dr.Slaa ni mgombea, hivyo kutokuweka msimamizi ina maana kura zote ktk vituo hivyo zinaweza kuchakachuliwa na kupewa Jakaya Kikwete.
Hivyo ni muhimu kwa Chama Chadema kuweka wasimamizi ktk kila kituo cha kupigia kura regardless ili kuhakikisha ushindi wa Dr.Slaa unapatikana, laa sivyo Chadema kama chama kitakuwa hakikumtendea haki mgombea wetu wa kiti cha Rais na wananchi kwa ujumla.
Tusije mlalamikia Mungu kwani yeye kisha ifanya kazi yake..
Well said, mkuu! Nikiwa moja ya watu ambao nimekuwa very critical na Chadema partly because they lack good and well coordinated organizational structure nationwide, nakubaliana na wewe katika hili jambo 100%. Ningependa sana kuona chama kingine tofauti na CCM kikiongoza nchi. And I believe Dr. Slaa ana stand good chance this year ku-pull an upset kama [narudia hapa: "kama"] Chadema wataweka wasimamizi makini katika kila kituo cha kupigia kura/nchi nzima. Ila, am very skeptical kama wataweza kufanya hivyo. Lakini kama wakiweza kufanya hivyo, then I'm pretty sure matokeo ya mwaka huu yatakuwa tofauti kabisa.