Majizi wenzie ndio wana sponsor hao vijana wasiojitambua ili watunge hayo mashairi butu eti kuonesha kuwa watu wanamkumbuka!!! Kweli wapo wanaomkumbuka lakini ni wale waliofaidika na ufisadi wakati wa utawala wake kama nyie wakina Faiza Foxy na sio WATANGANYIKA wazalendo!!