Ni mara nyingi sana Sitta amekuwa akipingana na msimamo wa serikali ambayo yeye ni mmoja wa viongozi wake waandamizi. Amekuwa akifanya hivyo openly kabisa kwa kwenda kwenye vyombo vya habari na kuipinga na kuikosoa serikali.
Hivi karibuni Amiri Jeshi Mkuu, ambaye pia ndiye rais wa nchi ameagiza wahamiaji haramu waondolewe hapa nchini. Naamini hili limefanikiwa vizuri sana. Ajabu anatokeza mheshimiwa Sitta na kulikosoa zoezi lililoanzishwa na Boss wake mbele ya vyombo vya habari! Si mara ya kwanza wala ya pili bali ni mara ya kumi sasa akiwa tofauti na msimamo wa serikali na pia chama chake. Iliwahi kutolewa hoja na kina Mgeha kuwa Sitta afukuzwe uanachama, lakini hii hoja haikushika kasi na bado Kikwete ameendelea kumkumbatia. Kwa kweli sijajua mantiki ya kuwa na kiongozi kama Sitta kwenye baraza la mawaziri. Ningelikuwa Kikwete ningeisha mtema siku nyingi sana! Anaidhoofisha sana taasisi ya uwajibikaji wa pamoja. Pia anaidhoofisha sana taasisi ya Urais. Hili Kikwete halioni?

Ataliona vipi wakati serikalini hakuna ushirikiano, kila mtu anazungumza lake. Kila mtu n zaidi ya mwenzake. No ushirikiano.
Mkuu JK ni sharp sana, aliweka pima joto akaona mtu kama Sitta akiachwa nje ya Baraza la Mawaziri, chama kitakuwa na viikundi active, which is not healthy 4 the ruling party ndio maana wana siasa maverick kama Mzee Sitta walipaswa kuwa-nipped in the buddy timely - hayo ni maoni yangu.Ni mara nyingi sana Sitta amekuwa akipingana na msimamo wa serikali ambayo yeye ni mmoja wa viongozi wake waandamizi. Amekuwa akifanya hivyo openly kabisa kwa kwenda kwenye vyombo vya habari na kuipinga na kuikosoa serikali.Hivi karibuni Amiri Jeshi Mkuu, ambaye pia ndiye rais wa nchi ameagiza wahamiaji haramu waondolewe hapa nchini. Naamini hili limefanikiwa vizuri sana. Ajabu anatokeza mheshimiwa Sitta na kulikosoa zoezi lililoanzishwa na Boss wake mbele ya vyombo vya habari! Si mara ya kwanza wala ya pili bali ni mara ya kumi sasa akiwa tofauti na msimamo wa serikali na pia chama chake. Iliwahi kutolewa hoja na kina Mgeha kuwa Sitta afukuzwe uanachama, lakini hii hoja haikushika kasi na bado Kikwete ameendelea kumkumbatia. Kwa kweli sijajua mantiki ya kuwa na kiongozi kama Sitta kwenye baraza la mawaziri. Ningelikuwa Kikwete ningeisha mtema siku nyingi sana! Anaidhoofisha sana taasisi ya uwajibikaji wa pamoja. Pia anaidhoofisha sana taasisi ya Urais. Hili Kikwete halioni?
Loh! Mkuu Kiranga kiboko ndio maana napenda sana kusoma posts zako, niwe mkweli hapa item No.4 ni funga kazi - nimecheka mpaka karibu ya kuzimia! Sina shaka Mzee Sitta ataisoma siku nzima na atachukuwa mahamuzi magumu yakuwa a back bencher the soonest. Bravo mzalendo KIRANGA.If the main account is at all accurate.Then.1. Kikwete anakiogopa hata kivuli chake.2. Kuwa mvumilivu kwa upinzani si kitu kibaya.3. Flexibility and tolerance does not mean abandoning the principles of collective responsibility. Good governance requires unison on the part of the cabinet, at least publicly.4. Sitta, even if right, in publicly dissenting while in government, violates collective responsibility. Dissenters have their rightful place. The back benches.Mpaka a cabinet minister anamkosoa rais publicly, hakuna vikao vya cabinet?Hakuna simu?
Una fikiri serekali ni vilaza kama wewe kichwa chako cha matope anacho kifanya Sitta ni uhuru wa habari na ipo kwenye katiba una firiki ccm kama chadema kinavyo kurupuka tu kwenye mambo ya msingi nenda kanywe chai mkuu