INAKERA!, INATIA KINYAAAAAA! Tz ya sasa na ya kesho inamalizwa ndani ya sekunde chache, watanzania kilichobakia, tuache porojo za kulalamika, kulalamika hakuzai kauli ya kutenda na kuthubutu, wana JF naombeni tuituimie JF kwa ajili ya kupanga mikakati jinsi ya kuinusuru hii nchi, tutumie mifano ya wenzetu waliofanikiwa kuwaondoa hao kupe! walifanikiwa kwa kupeana michapo na jinsi gani ya kuwaondoa kwa njia ya Facebook na mitandao kama hii yetu ndo mana unaona kitu cha kwanza hao kupe wanaanza kufunga hizi asasi, lakini wanakuwa wameshachelewa, unga unakuwa ushatiwa mchanga! Yani apa nuilipo sina hali natamani ata nijitoe mhanga, inakera kwa kitendo anachokifanya Mkwere na vibaraka wake akina Ngereja! Kumbe ndo mana walikuwa wamechachamaa DOWANS iwashwe, iwashwe! mara JK analidanganya taifa kuwa wanaangalia jinsi gani wanaweza kuyanusuru hayo mabilioni ya pesa, sasa tushike lipi tuache lipi, kwa sababu sa ivi tunasikia sa ivi waqnawaomba wawashe, watawaombaje uku wanadaiwa na bado wamewapeleka mahakamani? Arooooo Kikwete, aise acha kutuchafua akili, Mubarak, amekuacha bt Swaiba ako Gadafi hakuachi! nakwambia anaondoka na wewe, coz tumechoka! Halafu hao waandishi habari wasio na taaluma walikuwa wanachukua habari gani, ahalafu wampelekee nani? si sio vipofu tusiohitaji picha, tunahitaji kumfahamu huyo mwizi wetu ili tumalizane nae, na wala hatutaki cha mahakama mana ndo wale wale!! ITV na Radio One mmesema mtakuwa na mjadara juu ya hili, hakikisheni mnatuletea na picha yake huyo jamaa, la sivyo na nyie bora mukaacha coz itakuwa ni umbea tu.