Kikwete amwiga Ahmedinejad

alivyokaza misuli utafikiri anaongea kitu...hamna lolote hapo...bora hata ahmadinejad huwa anaongea point..
 
tofauti yao huyo wa iran havai tai ya kujinyonga huyu wa bongo anavaa tai/mjusi
 
fungueni sehemu iliyoandikwa attachment chini ya hizo picha mtaona kilichokusudiwa
 
watu kwa kupenda kuongeza idadi ya post!, harafu hazina ujumbe.

watu wanapenda watafuniwe kila kitu..jaribu kuwa equisitive hujaona hizo attachment chini ya hizo pics...
 
mmmmmmmmmmmmmmh, hiii Akili ya makamba na chatanda wa CCM, NONSENSE
 
watu wanapenda watafuniwe kila kitu..jaribu kuwa equisitive hujaona hizo attachment chini ya hizo pics...


matatizo ya mfumo wetu wa elimu mkuu...

haukutujenga kuwa inquisitive...ni wepesi wa kurukia conclusion tukifikiri tunajua kumbe tunaungua na jua...
 
Mbona watu mnakimbilia kujibu kwamba hawafanani? Fungueni attachment chini ya picha mtaona ni kwa lipi wanafanana madikteta hawa wawili. Na labda mwombeni radhi aliyebandika post kwa kumponda kimakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…