Sahihi kabisa ulichokiandika lakini unadhani kabla ya rais kufanya ziara hana washauri? kama DC alitakiwa kuwa na majibu kwa nini hakuwa nayo? Nani aliemteua kwenye nafasi hiyo!!!... mwisho wa siku nani anabeba uzembe wa DCn au team yake?DC ana uwezo wa kupata majibu kutoka kwa wahandisi wa manispaa, they are at his disposal!!!
Suala ni udhaifu tu wa team yake...
Ki Ukweli Ingetakiwa uongozi wa wilaya, madiwani , mbunge na wahandisi wa wilaya wawe wameshafanya tathmini nini kinahitajika na Kutoa mapendekezo nini kinahitajika kufanyika kwa mpango wa muda mfupi na muda mrefu. Udhaifu wa viongozi wa mccm ndiyo umemfanya jk atamke yote hayo.
Mtia NIA ni kwamba 'kukemea' ni tofauti kabisa na 'kukaripia' sasa kwakuwa wewe ni mtu wa 'KIENYEJI' nikusaidie tu kukemea ni kama 'kupunga!' kwa huko kwenu.Kunawatu wajinga kweli sasa hapo kamkemea wapi akili za kibavicha bana shida sana.
sasa hapo amemkemea wapi?! mbona ni viongozi wote tu wako hivyo.
mkuu jaribu kuwa na busara kidogo bavicha inaingiaje hapa?Kunawatu wajinga kweli sasa hapo kamkemea wapi akili za kibavicha bana shida sana.
DC aaibisha kabisa, utazani mshona viatu, hajui hili wale lile, walidhani uDC ni mchezo, watu wanaangamia unasema unapanga mipangoi ya muda mrefu huyu kweli hamnazo
Kunawatu wajinga kweli sasa hapo kamkemea wapi akili za kibavicha bana shida sana.
Anazaliwa mtoto muuza unga