jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Heee...!! Huwa nawashangaa watz wanaowashabikia wapinzani haswaa chadema..leo hii nawe unakuja kusema jk alikuwa anajiamn kwamba unamkubali..mfyuu hv nyie mna shida gani? Yaan kati ya vyama vilivyokuwa na watu mazezeta nazani ni chadema..nyie c ndo mlimwita rais dhaifu!? Mtu dhaifu huwa anajiamn yeleuwiiii...ngachokaaa..sijawah ona watu wa aina hii duniani..yaan wanakula matapish yaoo..aiseee chadema nimeam ni genge la magaidi.JK Kiongozi anyejiamini
Waliomfuata baada yake wako very insecure
Mmoja akaamuru Lissu amiminiwe risasi auawe
Mwingine kampa Mbowe kesi ya Ugaidi
Yaani wanatumia miguvu miiingi badala ya kujibu hoja kwa hoja
Heee..tenaa mmemgeukia na huyuu mliemwita dhaifuu kwamba he was smart! Angalien msijemkamwambia agombee upande wa chadema 2025..mana nyie ninwazee wa kuyarudia matapish yenuu..JK siasa ipo kwenye damu
JK Kiongozi anyejiamini
Waliomfuata baada yake wako very insecure
Mmoja akaamuru Lissu amiminiwe risasi auawe
Mwingine kampa Mbowe kesi ya Ugaidi
Yaani wanatumia miguvu miiingi badala ya kujibu hoja kwa hoja
Huwezi kumlinganisha na hizi takakata zenuHeee..tenaa mmemgeukia na huyuu mliemwita dhaifuu kwamba he was smart! Angalien msijemkamwambia agombee upande wa chadema 2025..mana nyie ninwazee wa kuyarudia matapish yenuu..
Aliipotezea sababu alifocus na bata lakemzee alikuwa na uwezo sana kustahimili mikiki
Swali gumu kwa Kikwete: FEDHA ZA ESCROW NI MALI YA SERIKALI AU SINGASINGA NA RUGEMALILA? hatoweza kujibu hadi anaingia kaburini.
Unafikiri kwanini Ruge ameigomea plea bargain na yuko tayari kufia mahabusu... JK alijibu ile hela ni mali ya IPTL sio ya Serikali...tusubiri kumlipa Ruge mabilioni siku moja..
Jamaa siasa anaijua kwa kuisoma na kuzaliwa. Ndio maana aliwambia wanaCCM wenzie kuwa hoja ujibiwa kwa hoja, alipenda maridhiano na majadiliano
Ndiyo alikuwa dhaifu.Heee..tenaa mmemgeukia na huyuu mliemwita dhaifuu kwamba he was smart! Angalien msijemkamwambia agombee upande wa chadema 2025..mana nyie ninwazee wa kuyarudia matapish yenuu..
Kwahiyo mheshimiwa alikuwa na tezi dume? Naye alipimwa na kipimo ogopeshi?Unaikumbuka ile ya Escrow, nchi nzima inamsubiri Rais atoke kwenye matibabu ya tezi dume Marekani ili atoe neno lake..
Akafika Airport akaongea kuhusu ugonjwa wake ulivyoanza, alivyoiaga familia yake, alivyopokelewa na kutibiwa Marekani, kisha akaaga na kuelekea Ikulu, hakutaja neno Escrow hata mara moja..