Mkuu deni hata lingekuwa dola 500bn kama maisha ni easy hapo mbona raha sn, kuliko kuwa na deni kiduchu na bado ya wananchi ni ya kutokujua kesho itafikajeUliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?
Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?
ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?
Loooooh!mtamkumbuka mkwere the great thinker
Ukweli usemwe Mkwere alitupeleka pabaya.
Pamoja na promo kibao za NSSF, NPF, makongamano, masemina elekezi na masherehe matanuzi. Nchi ilizidi kudidimia kiuchumi wakubwa wakizidi kwenda kubembea Dubai Brazili na kwinginepo!!
Ina maana hamukuona wizi na ufisadi uliokuwa unaendelea??
Sioni sababu ya kumsifia mtu aliyedidimiza uchumi wa nchi eti ni kichwa!!
Madawa ya kulevya TZ ikageuka safe heaven ya madealers!!
Lugha za wizi zikazaliwa eti Mchongo , uchakachuaji, maujanja!!
Yote yamezaliwa na watu wa kuliibia taifa letu!!
Mhs Rais awabane warudishe hata fedha walizo ficha huko Ulaya!!
Mtu katawala nchi bila kujali uadilifu bora liende!!
Wote tulilaumu ufisadi
Kodi zilikuwa hazilipwi?
Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!
Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!
Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi
Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.
Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!
Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!
Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!
Leo sasa!
Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!
Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!
Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?
Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
kuna mtu alikufuata kwako ulipe hilo deni la taifa?,Uliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?
Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?
ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?
umesahau zile bilioni karibu 900 alizotoa mmarekani juzi,bado euro nao wametoa,sasa baada ya miaka miwili,deni laweza kuwa mara mbili ya sasa au hata mara tatu,hizo trlion 7 tu kwa mpigo kuzilipa ni ishu kwelikweliBajeti ya Mwaka huu serikali inakopa trilioni saba...bado kwenye ujenzi wa reli....wachina wakitukopesha trilioni 16,kwa mwaka mmoja serikali inakuwa imekopa trilioni 23.....hebu rudia ...umesema kipindi cha jk deni lilipanda toka ngapi kwenda ngapi?
umesahau zile bilioni karibu 900 alizotoa mmarekani juzi,bado euro nao wametoa,sasa baada ya miaka miwili,deni laweza kuwa mara mbili ya sasa au hata mara tatu,hizo trlion 7 tu kwa mpigo kuzilipa ni ishu kwelikweli
Chini ya Kikwete deni la taifa lilifika trl 40. Mambo uliyotaja yalifanywa kwa mikopo badala ya mapato ya ndani na kwa kua uthibiti ulikua mdaifu mikopo mingine iliishia mifukoni mwa watu. Ndio maana Tanzania inaitwa shamba la bibi kwa kuwa wajanja wachache walitafuna fedha ya ndani kwa kutolipa kodi.Wote tulilaumu ufisadi
Kodi zilikuwa hazilipwi?
Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!
Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!
Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi
Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.
Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!
Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!
Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!
Leo sasa!
Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!
Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!
Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?
Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
Huo unafiki wenu wabongo hautaisha aliyepondwa jana leo anasifiwa...anayesifiwa leo huenda kesho akapondwa.Kwa kweli uongozi ni kipaji sio wala elimu, Unaweza ukawa na elimu tosha ila huna sifa ya uongozi...
Kiongozi anatakiwa kuwa mvumilivu, kiongozi ukishasema wewe unajutia uongozi wako je unaowaongoza wawe ktk hali gani?
Kiongozi anatakiwa akubali kuwa yeye ni jalala (kama ilivyo usemi wa wahenga 'Mkubwa jalala') unatakiwa usipanic panic na kuwa na hasira hasira zisizo na mipaka.
Rais ni sawa na Baba na familia yake...sisi ndio watoto wake yeye ni baba.
Mkwere alikuwa anasifa za uvumilivu..Sifa ya uongozi...Japo kuna sifa nyingine hakuwa nazo km za kiufanisi lakini zilitegemea wale wanaomshauri ndio wawe nazo.
Kipaji cha angani?Mkwere uongozi ni kipaji chake
ULIZA DENI MWAKA HUU TU WA KWANZA LINAONGEZEKA KIASI GANI; 8 TRILLIONUliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?
Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?
ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?
Ukweli usemwe Mkwere alitupeleka pabaya.
Pamoja na promo kibao za NSSF, NPF, makongamano, masemina elekezi na masherehe matanuzi. Nchi ilizidi kudidimia kiuchumi wakubwa wakizidi kwenda kubembea Dubai Brazili na kwinginepo!!
Ina maana hamukuona wizi na ufisadi uliokuwa unaendelea??
Sioni sababu ya kumsifia mtu aliyedidimiza uchumi wa nchi eti ni kichwa!!
Madawa ya kulevya TZ ikageuka safe heaven ya madealers!!
Lugha za wizi zikazaliwa eti Mchongo , uchakachuaji, maujanja!!
Yote yamezaliwa na watu wa kuliibia taifa letu!!
Mhs Rais awabane warudishe hata fedha walizo ficha huko Ulaya!!
Mtu katawala nchi bila kujali uadilifu bora liende!!
Wote tulilaumu ufisadi
Kodi zilikuwa hazilipwi?
Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!
Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!
Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi
Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.
Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!
Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!
Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!
Leo sasa!
Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!
Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!
Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?
Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
NO And NOWAY!Nilishasema Siku nyingi, Hakuna Kama Kikwete. Alijua kucheza na namba. Lakini zaidi ni mtu mwenye Hekima.
Kama una akili timamu jiulize japo hata kidogo....hivyo vyuo vilikuwa na ubora gani kielimu? Barabara zilikuwa zinajengwa baada ya wiki mbili kwisha zinaharibika kwa rasharasha ya manyunyu ya mvua na rais bado tu anachekelea makandarasi. Kaingia Magufuli na wataalam wake, makandarasi kibao wamefutiwa leseni kutokana na kugundulika kuwa fake. Majengo mengi ya ghorofa na ya kisasa kabisa yaliporomoshwa chini ya kiwango na rais bado tu alikuwa anacheka. Vihiyo na wajinga wengi ndiyo walikuwa wafanya kazi katika idara nyeti serikalini na ufanisi wa kazi ulikuwa hakuna kutokana na watu kutokuwa na ujuzi wa kazi. Almashauri zilishindwa kufuatiliwa, bandari ndiyo usiseme. Jiji lilizidi kuwa chafu wakati rais anachekelea tu kuona uchafu umezagaa mjini. Ufisadi ulikithiri huku wanafunzi ambao ni taifa la kesho wakizidi kukaa chini ya minazi na miembe kusoma, rais anacheka tu na kudanganya wadanganyika kuwa hii nchi ni masikini sana huku yeye na genge lake wakizidi kuneemeka. Mungu aliona mateso wapatayo watanzania na kuhamua kutuletea Magufuli. Kwa vyovyote vile, vihiyo na wabangaizaji wengi watalia na kulalama juu ya hili. Mwenye akili hawezi kamwe kumlaumu Magufuli kwani afanyayo yeye si mageni duniani ila hapa Bongo tunaona mageni na unyanyasaji kwa sababu watu walizoea kubangaiza na kutopenda kufanya kazi.
Huyu Rais yupo fiti shida yake ni kuisigina demokrasia na utawala wa sheria. Kiuchumi anatupeleka vizuri sana kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima. Na kupunguza ajira ambazo hazina msingiWote tulilaumu ufisadi