Kikwete akusanya mipini ya miti ya ZANZIBAR -- Juu ya Wazanzibar Wengi Mawaziri Bara

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Kuchaguliwa Wazanzibar kuwa Mawaziri kwa wingi huko Tanganyika ni kutaka kuimarisha Muungano ,ili ionekane kuna uwiano wa aina flani flani ,nina wasiwasi kama hapa hapapangwi mikakati ya kuimaliza Zanzibar kwa kuwatumia WaZanzibari.
Je hawa sio mipini inayochomekewa chomekewa kwenye shoka ??? Maana shoka halikati miti kama halijapata mpini na mpini au mipini hutokana na miti…Wazenji tupooooo !!



Hii ni kutoka kwa habari za Wazanzibar Zanzibar; Huu Muungano kweli hauna faida pande zote hivi sasa, ni kwanini tusiachane kwa Amani? Wazanzibar Wengi hawapendi huu Muungano nadhani Wapemba wao hawana tatizo sana labda Viongozi wa Zamani Wa CUF

Hakuna Muungano wa Upande Mmoja sasa havi hakuna COLD WAR so ni bora waondoke

Bara hawa Mawaziri huko Zanzibar hawaamini kama Nahodha; hawaoni Umuhimu wake wanaona ni bora angepumzika kwahiyo hawataki awe Rais siku zijazo; Kikwete Amkumbatia Huyu Mtu...

Mnaonaje Hiyo Habari Toka Kwa Wazanzibar?
 
Inaonekana hapo tatizo sivyo lilivyo ,kwa upande wangu ,wabara wengi ni vibaka ,ushahidi upo (Uwepo wa wahujumu uchumi kwa wingi aka Mafisadi) katika ngazi za uongozi au wengi wa walioko huko Tanganyika elimu yao ni ndogo ukizingatia hata kama wana elimu utakuta hawana uaminifu ,kuna siku safu nzima itaongozwa na Wazenji hapo ndio mtaelewa kuwa petroli haizimi moto.
 
Inawezekana kuwa muungano hauna faida sasa lakini kwanini wanolalamika ni Wazanziba tu!
Inamaana kwa Tanganyika huu muungano hauna tatizo kabisa kwao? Ni faida tuu?
 
Thubutu nani atawapa nchi nyie,haya ni mambo ya kupita come 2015 tutaelewana

Wewe omba uhai tu ,hela ya mafuta itawanunua waTanganyika ,ukiwa na hela unabadilisha kila kitu ,waswahili watunasema usicheze na mwenye hela ,sasa hapo si umeona tayari tumeshateka wizara jambo ambalo halikuwezekana hapo kale.mambo taratibu.

Uchaguzi ujao mgombea wa CCM ni Mzanzibari na atashinda kwa tetemeko !! Watauita ushindi wa tetemeko !
 
Inaonekana hapo tatizo sivyo lilivyo ,kwa upande wangu ,wabara wengi ni vibaka ,ushahidi upo (Uwepo wa wahujumu uchumi kwa wingi aka Mafisadi) katika ngazi za uongozi au wengi wa walioko huko Tanganyika elimu yao ni ndogo ukizingatia hata kama wana elimu utakuta hawana uaminifu ,kuna siku safu nzima itaongozwa na Wazenji hapo ndio mtaelewa kuwa petroli haizimi moto.
Elimu ipi unaongelea? Hii ya wznz kuamini VISA inatolewa na waziri wa mabo ya nje?
 
Back
Top Bottom