Kikwete akusanya mipini ya miti ya ZANZIBAR -- Juu ya Wazanzibar Wengi Mawaziri Bara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete akusanya mipini ya miti ya ZANZIBAR -- Juu ya Wazanzibar Wengi Mawaziri Bara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Nov 27, 2010.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kuchaguliwa Wazanzibar kuwa Mawaziri kwa wingi huko Tanganyika ni kutaka kuimarisha Muungano ,ili ionekane kuna uwiano wa aina flani flani ,nina wasiwasi kama hapa hapapangwi mikakati ya kuimaliza Zanzibar kwa kuwatumia WaZanzibari.
  Je hawa sio mipini inayochomekewa chomekewa kwenye shoka ??? Maana shoka halikati miti kama halijapata mpini na mpini au mipini hutokana na mitiÂ…Wazenji tupooooo !!  Hii ni kutoka kwa habari za Wazanzibar Zanzibar; Huu Muungano kweli hauna faida pande zote hivi sasa, ni kwanini tusiachane kwa Amani? Wazanzibar Wengi hawapendi huu Muungano nadhani Wapemba wao hawana tatizo sana labda Viongozi wa Zamani Wa CUF

  Hakuna Muungano wa Upande Mmoja sasa havi hakuna COLD WAR so ni bora waondoke

  Bara hawa Mawaziri huko Zanzibar hawaamini kama Nahodha; hawaoni Umuhimu wake wanaona ni bora angepumzika kwahiyo hawataki awe Rais siku zijazo; Kikwete Amkumbatia Huyu Mtu...

  Mnaonaje Hiyo Habari Toka Kwa Wazanzibar?
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Inaonekana hapo tatizo sivyo lilivyo ,kwa upande wangu ,wabara wengi ni vibaka ,ushahidi upo (Uwepo wa wahujumu uchumi kwa wingi aka Mafisadi) katika ngazi za uongozi au wengi wa walioko huko Tanganyika elimu yao ni ndogo ukizingatia hata kama wana elimu utakuta hawana uaminifu ,kuna siku safu nzima itaongozwa na Wazenji hapo ndio mtaelewa kuwa petroli haizimi moto.
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thubutu nani atawapa nchi nyie,haya ni mambo ya kupita come 2015 tutaelewana
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kuwa muungano hauna faida sasa lakini kwanini wanolalamika ni Wazanziba tu!
  Inamaana kwa Tanganyika huu muungano hauna tatizo kabisa kwao? Ni faida tuu?
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wewe omba uhai tu ,hela ya mafuta itawanunua waTanganyika ,ukiwa na hela unabadilisha kila kitu ,waswahili watunasema usicheze na mwenye hela ,sasa hapo si umeona tayari tumeshateka wizara jambo ambalo halikuwezekana hapo kale.mambo taratibu.

  Uchaguzi ujao mgombea wa CCM ni Mzanzibari na atashinda kwa tetemeko !! Watauita ushindi wa tetemeko !
   
 6. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #6
  Nov 19, 2013
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Elimu ipi unaongelea? Hii ya wznz kuamini VISA inatolewa na waziri wa mabo ya nje?
   
Loading...