The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Nadhani hatakaa sana Nairobi ataunganisha Dubei.Afuatwe huko huko. Walizidi Kujimwambafy
Ila bado tetesi. Bado nafuatilia. Nimewapa hii task vijana wangu kitengoni Rama na Frenk na kila baada ya dakika wana ni brief kila jambo linaloendelea.Afuatwe huko huko. Walizidi Kujimwambafai
Kafanya Jambo gani kwa sasa ?Huyo dingi nivile tu hamjui , amecheza nafasi muhimu sana hadi hapa tulipofikia , mbeleni huko mtajua.
Kafanya Jambo gani kwa sasa ?
Loh🤔Huyo dingi nivile tu hamjui , amecheza nafasi muhimu sana hadi hapa tulipofikia , mbeleni huko mtajua.