Kikwete ahaha urais 2010

Unaweza kuwaomba msamaha wachaga wote uliowatusi na kuwaonyesha chuki kubwa hapa jamvini. Hayo ya uchaga na chadema nikuulize wewe uliyeyaleta kipindi kile

kwa hiyo reaction yako ya leo ni ya kwa sababu ya kipindi kile? LOL!
 
sijasahu kuwa wewe ni mnafiki. ni kazi yangu hapa jf kukuumbua kila mara unapoleta unafiki wako kwa muda mrefu sana ujao. Wasomaji wote watakuwa wanakumbushwa unafiki wako na chuki zako zilizokubuhu dhidi ya wachaga
 
siyo chadema tena ila wachaga, kuna uhusiano gani wa chadema na wachaga?
 
ha ha ha,

naona umekumbuka wimbo ulioimbiwa siku ile unaomba kufungiwa ... joto lilikuwa limezidi ahnaa

Na nani, mbishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
joto wapi ,siku hizo ulikuwa umepotea kama wiki kadhaa, sasa ningetoa matusi kwa nani zaidi.teh teh teh
 
Na nani, mbishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
joto wapi ,siku hizo ulikuwa umepotea kama wiki kadhaa, sasa ningetoa matusi kwa nani zaidi.teh teh teh

teh teh teh ... as long as "umerudi" jamvini nadhani matusi yanaweza kuendelea... wewe waonaje?
 
nikuulize wewe uliyeleta mambo ya uchaga hapa wakati wa uchaguzi wa chadema.

Kipindi kile cha uchaguzi, waliokuwa viongozi wenu si walisema chadema ni chama cha wachaga? mbona Mnyika alifafanua vizuri kabisa na kuonyesha hakuna huo uhusiano. na viongozi wenu walioondoka chadema sio nao walisema hivyo hivyo?

walisema CHADEMA= WACHAGA

mimi sikubaliani nao,

kwa hiyo nikiomba msamaha kwa kudhania hivyo utaupokea?
 
sikuelewi nikuulize wewe, nataka unipe condition ya kutuma post zinazohusu chadema!, au je post gani nikituma haitakukumbusha hayo unayoyasema! LOL!

endelea tu na kazi yako na mimi ndio mwanzo nimeanza ya kwangu ya kuwafahamisha wasomaji wapya wa JF yote yanayokuhusu. Fair enough?
 
Kipindi kile cha uchaguzi, waliokuwa viongozi wenu si walisema chadema ni chama cha wachaga? mbona Mnyika alifafanua vizuri kabisa na kuonyesha hakuna huo uhusiano. na viongozi wenu walioondoka chadema sio nao walisema hivyo hivyo?

Kwa hiyo wewe ulichosema ilikuwa ni kupigia msitari au sio? yaani kwamba unataka iingie kwenye record kuwa waberoya alikubaliana na viongozi wa chadema?!

walisema CHADEMA= WACHAGA

mimi sikubaliani nao,

kwa hiyo nikiomba msamaha kwa kudhania hivyo utaupokea?

Kama hukukubaliana nao, unaomba msamaha wa nini? unafiki mwingine bana hata watoto wa chekechea wanaweza kufanya kazi nzuri zaidi ya hii
 
teh teh teh ... as long as "umerudi" jamvini nadhani matusi yanaweza kuendelea... wewe waonaje?

Yataendelea kweli , maana siku hizi ukitaja kushindwa kwa chadema ni matusi.teh teh teh
ama kusema Zito ni mhimili wa chadema ni matusi, utayasikia kweli
 
Usidhani mimi ni mtu wa udenda wa madaraka kama wanaCCM wengi kazi yangu niliyonayo inanitosha wala haitegemei huruma ya CCM

Sidhani kama Mbowe anategemea hizo hela hivi unaujua ukoo wa Mbowe ulikotoka wale ni mamilionea toka enzi wao wanafanya biashara halali sio wale wanaofanya biashara kwa kutegemea huruma ya CCM kukwepa kodi wao bila CCM they are finished
 
kwa hiyo unaamini kuwa sikukubaliana nao au unaamini kuwa nilikubaliana nao? to jibu sahihi zaidi eleza unachokiamin zaidi na mimi nitafuata unavyoamini wewe!
 
Yataendelea kweli , maana siku hizi ukitaja kushindwa kwa chadema ni matusi.teh teh teh
ama kusema Zito ni mhimili wa chadema ni matusi, utayasikia kweli

Nadhani unachanganya madesa hapa, ulichoandika hapa ni hiki

MkamaP said:
Na nani, mbishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
joto wapi ,siku hizo ulikuwa umepotea kama wiki kadhaa, sasa ningetoa matusi kwa nani zaidi.teh teh teh

Nimeongelea matusi yako kwangu kwa kuwa "umerudi" rasmi
 
Safi ndugu yangu kwa clarification, nadhani watu wenye utajiri genuine ndio wanahitajika kwenye kuongoza vyama na na nafasi nyingine , au wewe unasemaje?
 
kwa hiyo unaamini kuwa sikukubaliana nao au unaamini kuwa nilikubaliana nao?

Hili ni swala la wewe kujieleza (kwa mara ya kumi) kama unakubaliana nao au vipi. Kadri nilivyosoma maandishi yako hapa, wewe unachuki sana dhidi ya wachaga na watu wa kaskazini

to jibu sahihi zaidi eleza unachokiamin zaidi na mimi nitafuata unavyoamini wewe!

Ha ha ha, inachekesha kuona unavyojaribu kukwepa huu msalaba ambao wewe mwenyewe kwa utashi wako, uliuchonga hapa JF. Ukabila wako na chuki zako dhidi ya makabila fulani Tanzania, ni swala ambalo wewe mwenyewe utalitolea maelezo (majibu sahihi) na sio mwingine yoyote.
 
kwa hiyo chuki yangu juu ya wachaga inaathiri nini chadema?
 
kwa hiyo chuki yangu juu ya wachaga inaathiri nini chadema?

So far nadhani hata wewe umegundua kuwa haijaathiri chochote kile. Chadema bado ipo na haikusambaratika kama vile mlivyotegemea.

Next time inabidi mje na strategy nyingine (kama mnayo) maana hiyo ya ukabila imekufa kifo cha mende .... chaliiiiiiiii
 
It is true Mwafrika wakati najiunga sikumjua vizuri huyu jamaa akawa anajitambulisha kuwa yeye ni Chadema eti anakikosoa ili kukijenga lakini kwa vile nilivyo makini inawezekanaje mtu uwe unakosoa tu siku zote tena zile zile propaganda zinazoenezwa mitaana na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…