Kikwete agiza dawa kwa babu!


Anataka kutibu ugonjwa wa kuanguka akiwa majukwaani!!!!

Tiba
 
Mbona mweshimiwa kafika na dawa kanywa sasa katuma ya nini wakati na familia yake imefika kule sas hiii umeipata wapi
 
acha kuongea pumba,wakati anaagiza we ulikuwepo?au unajiropokea tu.
 
Hutaki apone kwani??
Dah!!! Mambo mengine bwana!!!
 
Oooh waisilam msiende dawa ni ya kishetan imeandaliwa na makafiri. Haya sasa jk anataka najua wengi tu watakwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…