Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,146
- 17
Hapako huru tena hapa mafisadi wameshapanunua, niliweka article fulani siku chache zilizopita inayomfagilia Slaa katika opinion polls zilizofanywa na magazeti mbali mbali, lakini kwa mshangao wangu ilipotea baada ya dakika chache tu. Hakuna cha kustaajabisha hapa.
Thanks nimejitolea tena bure kuwa nawakumbusha wana JF wote na wageni ofcourse wasisahau kuwa tuna mgombea mgonjwa.Thx quinine kwa kuhifadhi kumbukumbu. I like your signature
Usifanye kosa kuchagua RAIS MGONJWA tukaingia hasara ya kurudia uchaguzi
Hapako huru tena hapa mafisadi wameshapanunua, niliweka article fulani siku chache zilizopita inayomfagilia Slaa katika opinion polls zilizofanywa na magazeti mbali mbali, lakini kwa mshangao wangu ilipotea baada ya dakika chache tu. Hakuna cha kustaajabisha hapa.
Kitu kinachonishangaza hadi sasa ni kwa nini NEC bado haijamfuta mgombea huyu mgonjwa!
KILA NIKIPIA HII THREAD NAPATA kigugumizi
Naskia alianguka tena arusha kabla ya hotuba, sijui ni kweli au majungu
Nadhani ni majungu!!!!!