Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
inasemekana kikwete ameanguka huko jangwani LEO.....
wenye habari zaidi watujuze tafadhali...
Ameamua kufungulia anakunywa maji,,wanadai inatokana na mfungo wa ramadhani..karudi ataendelea na kampeni.. ila kakatisha swaumu
Woga wa kumwagwa huo unamsumbua. Kazi anayo mwaka huu
Anazingua tu... kipindi kile ilkuwa wakat wa kumaliza kampeni hapohapo jangwani...leo wakt wa kuanza kampeni hapo hapo jangwani....do u buy this?? of all days why today?? kwani ramadhani imeanzaa leo!! ***** mix with urs!!!
Nyerere alisema Kikwete hajakomaa alimaanisha hajakomaa kwa kila idara.hakuna kinachojulikana lakini nadhani ni mtoto mdogo hajakomaa hata 2005 mambo yalikuwa hivihivi