"... is it?!!..... ....Aiseeeeeeee!!" :confused2:
si ajabu yuko hoi bin taabani, mficha maradhi.......
Halafu cha kushangaza ni kwamba umma wa Watanzania unafichwa ukweli ni nini hasa kinachoendelea. Si tuliambiwa kwamba jamaa atafanya kampeni usiku na mchana bila kulala!!! Kulikoni tena? Zikiwa zimebakia wiki sita tu na hali ya kushinda imegubikwa na wasiwasi mkubwa miongoni mwa mafisadi kuna neno kubwa hapa ambalo linafichwa.
Kama sababu kubwa ingekuwa kufungua mkutano basi angerudi Dodoma kuendelea kulikoni kubadiri ratiba? kama anakwepa matatizo ya Dodoma na kukimbilia ya Iringa akifikiri ni mepesi anajidanganya.Si imetangazwa kuwa aliahirisha kampeni ili kufungua mkutano wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Ambapo Jaji Augustine Ramadhani aliapishwa (mtanzania wa kwanza) pamoja na majaji wengine watatu kuwa majaji wa mahakama hiyo. Pia kushughulikia kazi nyingine za kiserikali. Baada ya hapo ataanza kampeni Iringa.
Kama sababu kubwa ingekuwa kufungua mkutano basi angerudi Dodoma kuendelea kulikoni kubadiri ratiba? kama anakwepa matatizo ya Dodoma na kukimbilia ya Iringa akifikiri ni mepesi anajidanganya.
Kama sababu kubwa ingekuwa kufungua mkutano basi angerudi Dodoma kuendelea kulikoni kubadiri ratiba? kama anakwepa matatizo ya Dodoma na kukimbilia ya Iringa akifikiri ni mepesi anajidanganya.
Kamkimbia John Malecela! Atampamba vipi Lusinde mbele ya Malecela?
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma kimeshindwa kutoa sababu za msingi juu ya nini kimemsibu mgombea Urais wa Chama hicho hadi kuamua kuahirisha ziara yake aliyotakiwa kuifanya katika wilaya tatu za mkoa huu.
Kwa mujibu wa ratiba kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, mgombea wa Urais wa CCM , Jakaya Kikwete alitakiwa kufanya ziara katika Wilaya za Mpwapwa,Chamwino na Dodoma Mjini akitokea Kondoa ambako alimaliza ziara hiyo juzi.
Mgombea huyo alifika uwanja wa ndege wa Dodoma Mjini akitokea Kondoa na kupokelewa na umati mkubwa wa wanachama wa CCM, lakini ghafla jana alilazimika kuondoka na kuelekea jijini Dar es Salaam.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma John Balongo aliliambia gazeti hili kwa njia ya simu kuwa mgombea huyo ameamua kuelekea jijini Dar es Salaam.
Habari zilizopatikana kutoka kwa baadhi ya viongozi na wagombea wa nafasi mbalimbali zilieleza kuwa kiongozi huyo aliamua kuondoka baada ya kubaini kuwa Wilaya ya Dodoma mjini bado ina mpasuko wa kisiasa.
"Rais alisema hawezi kuhutubia katika mikutano ambayo wagombea wake hawajawa kitu kimoja kwa hiyo akataka wayamalize kwanza ndipo atarudi kwa ajili ya kuendelea na kampeni" alisema mmoja wa viongozi ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe.
Kamwangalia saana msanii mwenzake, Marehemu tayari.