
Sasa kati ya hao 2 yupi ni mkali hapo? Mbona naona demu mzuri mmoja tu aliyeshikwa mkono, huyo chibonge mwingine wa nini sasa?
Unasemajee weweeeee![]()
Ni kweli dem ni mmoja tu hapo ilo zigo ni furaisha macho tuNaona demu mzuri mmoja tu hapo, hivyo sioni tatizo lilipo!
Dunia nzima?Oa Wote Basi!!